Elections 2010 Matokeo zaidi kutoka Mbeya

Sugu tuandalie single ya kukusindikiza bungeni. Tutaandamana kutoka makao makuu mtaa wa Ufipa dsm kuelekea dodoma kuapishwa. Sugu jiandae.
 
Sugu atawatetea wasanii wa kweli sio njaa waliojipendekeza kwa CCM wakasahau kuwa audiance yao sio wana-CCM tu!
 
Leta matokeo ya jumla basi mkuu. Piga simu kwa akina malafyale...tunachelewesha party mkuu!''

aiseee pati ni wapi chali angu?
 
Leta matokeo ya jumla basi mkuu. Piga simu kwa akina malafyale...tunachelewesha party mkuu!
Mkuu DC am doing my best kupata figures toka huko home lakini bado sijapata...ila am determined not to sleep mpaka nijue hali ikoje!
 
sugu moto chini eeeeeeh sugu moto juuuu aaaaaah,mwache sugu akalete changamoto.dr wa ukweli safiiii
mapinduziiii daima


sugu juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
moto chiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Sugu tuandalie single ya kukusindikiza bungeni. Tutaandamana kutoka makao makuu mtaa wa Ufipa dsm kuelekea dodoma kuapishwa. Sugu jiandae.
Yaani hapo naafiki kabisa,ni lazima aandae single afu ktk hiyo single awape salamu jamaa wa clouds fm!
 
Sugu atawatetea wasanii wa kweli sio njaa waliojipendekeza kwa CCM wakasahau kuwa audiance yao sio wana-CCM tu!

Mkuu kuna baadhi ya nyimbo zikipigwa club nitarusha chupa kwa watakaocheza, pia nitaongea na mbowe kuhusu hatma ya hawa wasanii uchwara pale bilcanas.
 
Kwa matokeo ya mr sugu clouds fm lazima itafute pa kukimbilia.hivi kwa sasa wanatangaza nini ktk matangazo yao?

Hao ant-virus size yao! C mck.........! Ndo tabu ya ule mchezo unakuwa mvivu kufikiria! Sugu mpambanaji bongo mpaka New york! Much respect bro!
 
Quote "...Napenda unavyoniponda huku unanipenda na sasa napanda kwenye to ten..." Sugu A,K.A Mr II
 
Jamani msikeshe mna kunywa pombe. Kazi bado. Mpaka matokeo YOTE ya MZA, Mbeya, k'jaro, Kagera and Moro/Dom yamepatikana. Baada ya hapo ndo watu waende Makanisani, misikitini, kwenye miti, pls don't drink pls......

WE CAN, nakubaliana na ushauri wako.. bado naamini kwamba ngoma bado mbichi kabisa.....
 
Matokeo ya mwisho kwa Kyela

Urais JK ana asilimia 75 na Slaa 24
Ubunge Mwakyembe ana karibu asilimia 90.

Madiwani CCM mpaka sasa wamechukua viti vyote kasoro kimoja.

Nilitegemea Dr. Slaa angepata kura nyingi zaidi Kyela. Huenda hawakuwa na mawakala makini baada ya mgombea wao wa ubunge kukataishwa tamaa. Kyela Mjini, Ipinda na Matema Dr. Slaa alikuwa na wafuasi wengi sana.
 
Back
Top Bottom