Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,476
- 39,995
Yeah.. kama wao wanavyomhitaji Danil Moi!
Typical tanzanians, too many words and no actions. You guys well and good know that kikwete and ccm will win and win big wether you guys like it or not!!!
Kalonzo was just stating the obvious, kikwete will be the president of tanzania for thenext five years.
it if it is true that East Africans need Kikwete sana.. why not asking Raila or Kibaki to resign so that Kenya will have Kikwete as its president and therefore provide East Africa with a man who is needed that much? Or Musyoka himself should resign to give room for Kikwete.
..WHAAT!!!
..hebu fikiria Makamu wa Raisi wa Tanzania, au nchi yoyote ile, aende Kenya na kutoa matamshi ya namna hiyo. nakuhakikishia pangechimbika!!
..kuna mambo mawili: ama, Kalonzo Musyoka hana akili timamu, au labda anatuona wa-Tanzania ni misukule, na anaweza kuja nchini kwetu na kusema jambo lolote lile na sisi tutaitikia, tawire, au hewala.
..nashangaa Wizara ya Mambo ya Nje haijatoa tamko la kuikataa kauli hiyo kidiplomasia na kiuungwana.
..nashangaa pia vyombo vya habari vya Tanzania vimekaa kimya kuhusu suala hili.
Typical tanzanians, too many words and no actions. You guys well and good know that kikwete and ccm will win and win big wether you guys like it or not!!!
Kalonzo was just stating the obvious, kikwete will be the president of tanzania for thenext five years.
Ni kosa kubwa kwa VP kutembelea nchi iliyoko kwenye kampeni za uchaguzi na kumkampenia mtu. Hajui hilo? Kataja JK ni personal friend, lakini alikuwa anazungumza kama VP wa Kenya. Nadhani wamwachishe kazi, hawezi!
Be that as it may, but if it is true that some East Africans need Kikwete then they can have him. We are not going to annihilate him. They can use him in any capacity they wish, but they cannot have "their" president in Tanzania.
We Tanzanians have had Kikwete for five years and we don't like it. We are extremely tired of him. In fact, we have had his party for a whole fifty years and we have nothing to show for it. We want a change of ruling parties. Just like Kenya did. So Mr Musyoke, stay out of our politics. We don't like your friend, and now we don't like you too.