Recent content by ravrov

  1. R

    JamiiForums Tanzania BREAKING NEWZ

    Mmmmh!
  2. R

    JamiiForums Tanzania Likitokea hili 1/4 ndo watabaki kwenye ndoa

    Wengi wao watabaki bila kuoa wala kuolewa maana ℅kubwa wanaishi katika ndoa zisizo na furaha.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa hakuwa chanzo cha kura milioni sita za UKAWA

    Ww unavyodhan chama kikuu cha upinzani ni kipi
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kiufupi, wananchi wote ni CCM tu

    Sio wote ,sema ww usiwa semee wengne,kama watu wote wangekuwa chama kimoja tusingekuwa na wabunge au madiwan kutoka upinzani.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Jinsi ya kufuta meseji ya WhatsApp uliyokosea kutuma

    Imekula kwako,
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mwalimu, nisome nilivyo

    Mbona waonekana kama una jazba xana vip?hatukatai wanafunz kupewa adhabu lakin ziwe adhabu zenye kiwango na co kumpiga mwanafunzi ngumi au mateke,hili lililotokea mbeya halikubaliki hata kidogo. .
  7. R

    JamiiForums Tanzania Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu

    Cjakuelewa yaani wataka kutuambia kuwa,wale walimu wametenda haki kwa yule mtoto?au heb tueleweshe vizur
  8. R

    JamiiForums Tanzania Jifunze matamshi sahihi ya maneno haya ya Kiingereza! Yanakosewa sana!

    Hata ya kiswahili pia yapo yana washinda watu,kama Barbosa alivyo kosea hapo;Neno,ili=hili,aliendi=Haliendi.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Sema amen

    Emen
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: EFM wajibu mapigo kwa Clouds Media, kuanzisha TV yao

    Cjaiona kwenye kisimbuzi changu cha star times,
  11. R

    JamiiForums Tanzania True story: Arukwa na akili baada ya aliyemsomesha kumkataa

    Angemsomesha hata binamu yake kidogo afadhali sio kumsomesha mtu mmekuta barabarani tu,lazima mtaachana kama mlivyo kutana,
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mi bado sijaona umuhimu wa kuvaa nguo kiukweli

    Niwazo zuri lakin unaonaje wewe uwe wa kwanza kutembea uchi mpaka kazin kwako ,pia uende sokon,na sehem unayoenda kufanya ibada,ujionee kama inakuwa poa nasi tutaanza huo mpango wa kurejea zama za mawe.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Herufi tatu (3) tu!

    Omo
Back
Top Bottom