Huo ni ukweli uliowaziWengi wao watabaki bila kuoa wala kuolewa maana ℅kubwa wanaishi katika ndoa zisizo na furaha.
Lakini wengi pia wataishi bila kuoaIkitokea hivyo wengi wata opt kubadilisha wenza wao, lakini wengi ambao wata opt hivyo baada ya muda watatamani warudiane na wenza wao wa awali.
Unajua kwa sababu wengi wetu hatujua upande mwingine ukoje, yaani hatujawahi kuishi na watu wengine then tunafikiri kwamba tuna wenza ambao hawatufai.
Ukiona couple nyingine unafikiri labda jamaa ana bahati ana mke mwema na mzuri, au ana mme mwema kuliko wa kwako. Kumbe ni vile tu uko nje, unawaona kwa nje, ukipewa uishi naye wewe utaona ayaaa kumbe ndo hivi.
Usia kwangu kwa kila mwana ndoa, ridhika na uliye naye, huyo ndo mungu amakuchagulia. Ishini kwa mapenzi mema na kuombeana heri.
Watu wanapoingia kwenye ndoa huwa wanategemea furaha na amani ila baada ya muda ndoa zinageuka jeraNini chanzo cha hiyo kitu? Maana ni jambo la ajabu sana kuingia ktk ndoa ukiamini kabisa utokuwa na furaha kwayo!
Hiyo ndo hatar zaid maana unaichoka within a yearwengine tunaingia tu kutimiza wajibu!!!
Nini chanzo cha hiyo kitu? Maana ni jambo la ajabu sana kuingia ktk ndoa ukiamini kabisa utokuwa na furaha kwayo!
Achana na mambo ya ndg but wanandoa wenyewe ni majanga matupuNdugu wa mume mama mkwe na mawifi wanasababisha ndoa nyingi kuvunjika.
Mama mkwe anaona km mtoto wake unakuwa over control na mwanamke, na misaada inapungua kwao wakati kijana anatakiwa kujenga familia yake. Lazima misaada itapungua haitakuwa km zamani.Hapo kasheshe huanza kwa mama mkwe na mawifi.
Uzazi pia unachangia wanaume wao wanaamini hawana matatizo ya uzazi, hayo yapo kwa wanawake tuu.Binti akipima na kujikuta yuko salama mwanaume unakuwa mkali hutaki kukubali kupima wala kusikia habari hiyo na walama zoote atapewa binti. Wakati ukweli anaujua yeye kuwa hajapima, ndugu wataanza minong'ono na vijembe mwisho ndani kuna kuwa kosovo.
Kipato kikiongezeka au kupungua napo pia kunaleta gubu na dharau kwa pande zoote mbili. Tabia zinabadilika na Yale mazoea ya zaman yanabadilika kashehe kuanzia hapo pia.
Ndugu wa kuishi nao nyumbani nao ni kasheshe nyingine wanaweza leta kasheshe mpk ukajuata.Usiombe kukutana nao wale wazandiki.
Aaahh yapo mengi, ngoja wengine wajazie
1. Ukitaka kuwa na mwenzi perfect basi perfection ianzie kwako.Ikitokea Mungu akaruhusu sahiz kuturudisha nyuma muda wa kuoa au akavunja ndoa hizi na kutaka watu waoe upya
Je utamuoa tena huyo uliyenaye????
Kwangu mimi hapana na naamin 1/4 tu ndo wataoa walionao
Watu hawazichoka ndoa kwa sababu ya mauno ndg swala la sex ni dogo sana katika ndoa! Shida iko katika kuelewana na kucope na tabia za wenzi1. Ukitaka kuwa na mwenzi perfect basi perfection ianzie kwako.
Kama Mke wako hakati kiuno kama geni basi wewe kata kiuno kama pangaboi LA bombadia.
2. Usitarajie miujiza mikubwa ku toka kwa mwenzio nae pia ana makosa na hukosea
3. Jifunze kuwa mvumilivu na mwenye kusamehe maisha yatakuwa rahisi kwako
4. Jiepushe na uwongo
HahahahaKwa kuwa nilikuta baba na mama ktk ndoa nami nikafuata mkumbo pasi upelelezi, nimekomaje?
sehemu MOJA tu nimeongelea ya Kitandani soma vizuri 2-4Watu hawazichoka ndoa kwa sababu ya mauno ndg swala la sex ni dogo sana katika ndoa! Shida iko katika kuelewana na kucope na tabia za wenzi
sehemu MOJA tu nimeongelea ya Kitandani soma vizuri 2-4Watu hawazichoka ndoa kwa sababu ya mauno ndg swala la sex ni dogo sana katika ndoa! Shida iko katika kuelewana na kucope na tabia za wenzi
Amen.Ikitokea hivyo wengi wata opt kubadilisha wenza wao, lakini wengi ambao wata opt hivyo baada ya muda watatamani warudiane na wenza wao wa awali.