Kiufupi, wananchi wote ni CCM tu

Kiufupi, wananchi wote ni CCM tu

Tume ya uchaguzi=ccm
Katiba =ccm
Vyombo vya usalama=ccm
Wakurugenzi=ccm
Unategemea nini?
Kabla ya kuandika hii chai mtafute j. Makamba akupe ukweli wa matokeo halis ya urais 2015.
 
title2.png
 
Mkuu acha uzushi,balozi anakuwa ni ccm ,lazima,sijawahi kuona balozi wa chama pinzani

Sasa kwani wewe ndiye unayeishi mtaani kwangu?????? Huyo wa ccm kwenye mitaa ya jiji la Arusha atakuwa anaenda kwenye nyumba zipi na kusema nini kwa nani?
 
Heee mkuu,sisi woteee ni CCM,vyama vingi wazungu walitudanganya
 
Familia yetu yote hatujawahi kuipenda ccm
 
Mpaka 2020 huenda robo 3 ya wananchi watakuwa upinzani.lakini kwa matarajio ya wizi wa kura huenda CCM ikashinda kwa 90% .

Reference yangu ni Mwenyekiti kuchaguliwa kwa 100%.

Magufuli kaza baba kaza mpaka tuumie tujute tuheshimiane, kaza tena mkanda baba kaza mpaka mwisho
 
Mkuu acha uzushi,balozi anakuwa ni ccm ,lazima,sijawahi kuona balozi wa chama pinzani
Wapo!ubalozi ulisha futwa kikatiba na kisheria!ubalozi upo kwa utashi wa wanasiasa!ngazi ya chini kiserikali ni ngazi ya kitongoji inayoongozwa na mwenyekiti wa kitongoji!ni ruksa kuwa na balozi wa act,chadema au c.c.m!
 
Sio wote ,sema ww usiwa semee wengne,kama watu wote wangekuwa chama kimoja tusingekuwa na wabunge au madiwan kutoka upinzani.
 
Umasikini wa mali na fikra vina mchango mkubwa sana katika hali ya siasa iliyopo. Upinzani imara unajengwa na matajiri wa fikra chanya na mali.
Hata hivyo, wananchi wengi wakiwemo viongozi hawana fikra chanya, wawe CCM au upinzani, zaidi sana hufanya siasa za kujitafutia posho ya kuendesha maisha ya siku tu na wala hawajiamini na hawana msimamo.
Kwenye chama tawala wengi wanabebwa na historia, uwezo na uthubutu binafsi hawana, hawajui wanachokisimamia, zaidi sana wanaamini kwamba kuwa huko ni fursa za ulaji.
Upinzani wapo wachache sana walioamua kutumia muda, fikra na mali zao kupambana bila kununulika kirahisi.
 
Kama kweli upinzani upo Tanzania tusubiri 2020.
Hata ukiwaangalia Macho yao yanaonesha na akili inawaza ruzuku ruzuku ruzuku.
 
Kama watu tuliungana vyama vinne ili kuiangusha ccm na bado tukashindwa,ubunge tukazidiwa,udiwani tukazidiwa,kura za uraisi tukazidiwa na hata serikali za mitaa tukazidiwa,sasa hapo bado unaamini kuna upinzani imara?

Hapohapo mara vyama vya upinzani vinaparurana na kufukuzana,mwenyekiti na katibu hawapikiki chungu kimoja,bado unaamini kuna upinzani imara?tukubali au tukatae ni kwamba kiufupi wananchi wote automatically ni ccm tu,ila hivi vyama vya upinzani vina wenyewe,sisi wengine tunapiga kelele tu ,wale waasisi na viongozi ndio wenye vyama vyao,au wewe mwenzangu unaonanaje?

Walituibia kura,na vile vizeee kimoja kiko kanada kimepatwa na mapenzi ,kingine kinaitwa le pro-pesa uchwara sijui kilisoma wapi vile ila huwa naskiaga udsm chuo bibi hapa tanzania,hakina maadili wala aibu kimepindua ofisi
 
Kuna utafiti umekuja kuwa hapa Tz. Kati ya watu 4 mmoja anaugua kichaa!mleta mada umedhihirisha hilo! nakushauri wahi Muhimbili au Mirembe kabla tatizo halijawa kubwa zaidi.
ila kweli naskia na humu jf tuna vichaaa
 
Tume ya uchaguzi=ccm
Katiba =ccm
Vyombo vya usalama=ccm
Wakurugenzi=ccm
Unategemea nini?
Kabla ya kuandika hii chai mtafute j. Makamba akupe ukweli wa matokeo halis ya urais 2015.
Na ya wabunge na madiwani? Afu viongozi wetu ni waongo san.walijua wameshindwa kihalali ila tu walitoa sababu za kutuaminisha uongo
 
Back
Top Bottom