Recent content by RAU

  1. RAU

    JamiiForums Tanzania Chama cha walimu hatukitaki

    Katika Dunia ya leo hakuna mfanyakazi anayejitetea mwenyewe. Vyama vya wafanyakazi vilikuwepo enzi na enzi na matunda yake yanajulikana dunia nzima. Mimi sio mwalimu lakini ni mdau wa CWT. Walimu mnahitaji kutoa maoni yao kwa viongozi husika na kuelezea matatizo yao na viongozi wanawajibu wa...
  2. RAU

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye ndani ya 'mkasi'

    Nape nimekuona, Nafurahi kuonesha wazi kuwa ndani ya chama kuna tatizo la kutosikiliza wananchi wanataka nini na hasa wakati wa chaguzi. Umeonesha wazi kuwa ulidhulumiwa nafasi ya kugombea ubunge UBUNGO. Lakini umekuwa mwepesi sana kusema kuwa Jimbo lilikuwa wazi kwa ajili yako. Umenishangaza...
  3. RAU

    JamiiForums Tanzania Gay Test...

    DO! mali za toto, mama paja moja leusi
  4. RAU

    JamiiForums Tanzania Units of Computer Memory Measurements

    Thanks, i did'nt know before about PB, EB, ZB,YB,BB and GB
  5. RAU

    JamiiForums Tanzania Namba za magari na ushawishi wa kisiasa

    Muda si mrefu kutakuwa na namba za magari kama T001 CCM, T005 CDM, T007 CCJ, T101 CUF na nyinginezo nyingi. Je namba hizi hazitakuwa na ushawishi kisiasa kwa kuwa zimebeba m vifupisho vya vyama vya kisiasa? Je ziruhusiwe kutumika au zinaweza kuondolewa kwenye mtiririko wa namba rasmi nchini...
  6. RAU

    JamiiForums Tanzania Uso na miguu ya mwanamke hueleza ubora wa mashine yake

    Tafuta kitabu kinachoitwa KAMASUTRA
  7. RAU

    JamiiForums Tanzania CCM mwendo mdundo! CHADEMA yaanguka

    Kwa mtanzania mwenye ufahamu, huu ni udhaifu wa washauri wanaokizunguka chama. Jambo lililoanzia bungeni ni bora lingeishia bungeni kuliko kupokonywa na chama. Udhaifu unakwenda kwa wabunge wa CCM kuwa hawawezi kutoa maamuzi dhidi ya serikali isipokuwa chama tu. Upinzani unanyanyuliwa kwa...
  8. RAU

    JamiiForums Tanzania Lulu Mahakamani: 23rd April 2012

    Mtoto mzuri, nguo zimempa heshima, amepungua umbo , lakini tumbo................
  9. RAU

    JamiiForums Tanzania Majukumu ya mh. Lukuvi

    EDUCATION School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level Washington International University BA (Inter. Studies &Diplomacy) 2001 - GRADUATE Johanesburg-South International Observers Course 1994 - CERTIFICATE Moscow Leadership Course 1985 -...
  10. RAU

    JamiiForums Tanzania Uzalendo wa Mwl Nyerere: Alimtoa mwanae kwenda vitani Uganda. Je, Mwinyi, Mkapa na Kikwete?

    Hakuna mtoto wa Nyerere aliyefia vitani, John ndiye aliyesomea urubani na kwa sasa tetesi zinasema yu mgonjwa yupo Dar es salaam. Ameathirika na uvutaji wa Bangi. Ukiwa Butiama anavuta barabarani kama sigara za kawaida.
  11. RAU

    JamiiForums Tanzania Muungano ukivunjika, Zanzibar kuwa 'Dubai ndogo'

    hapa nimepita tu? naogopa kutoa maoni nikichelea kauli ya Hayati baba wa Taifa "Mtoto akiunyea mkono utaukata au utausafisha uendelee"
  12. RAU

    JamiiForums Tanzania UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...

    Sio kosa lake.
  13. RAU

    JamiiForums Tanzania Baba mzazi wa Lulu aibua mazito

    Mtoto ameharibika mikononi mwa mama yake, alianza kwenda disko usiku mwaka 2009 ukiangalia vizuri utakuta alikuwa na umri wa miaka 14, kama aliwahi shule na miaka 7 ndio kwanza alikuwa form two . Umri hatarishi, kidato cha kupevuka. Inawezekana nguvu ya pesa ilitumika kumtumia vibaya mtoto...
  14. RAU

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya lulu kidato cha nne haya hapa

    Ni kweli kabisa. Angalia matokeo ya shule nzima ndipo utoe hatima ya mwanafunzi. Kama shule ilikuwa na Div 1,2 na 3 yeye akapata point 33, tungezungumza mengine. But, katika msukumo wa maisha ya sanaa anayoishi, nivigumu sana kuweza kupaform vizuri darasani hasa zinapokuwepo dili za kutosha...
  15. RAU

    JamiiForums Tanzania Mpeni pole baba Lulu........

    Tusiwe warahisi sana kulaumu juu ya malezi ya mwanae. Uhusiano wa mama na baba unachangia kwa kiasi kikubwa malezi na tabia ya mtoto. Malezi ya upande mmoja wenye mwanya unachangia sana mtoto kujifunza kutoka ulimwenguni Dunia imemfunza Lulu, Pigo vilevile linakwenda kwa wana sanaa kuchangia...
Back
Top Bottom