Osaka
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 1,762
- 551
hapa kulikua hakuna future chakufanya ilikua maigizo tu
Mkuu, kumbe ili uingie ktk fani ya maigizo, ni kwamba A, B, C, D zako zinakuwa chini! Kuna ukweli ktk hili?
hapa kulikua hakuna future chakufanya ilikua maigizo tu
Amejitahidi! D ya hist na kiswahili. Anahitaji English course tu, ngoja nimuombe NN ajitolee sessions za segerea kuokoa wakati.
ama kweli Hesabu ugonjwa wa taifa......mfano Lulu alianza la kwanza mwaka 2001 mpaka 2006 (na si 2007) atakuwa amehitimu la saba na 2007 mpaka 2010 (na si 2011) form four utata uko wapi hapo...na ikumbukwe si kila anaeanza la kwanza lazima asome miaka saba au nimeshuudia watoto wakirukishwa darasa mfano badala asome la kwanza anaanzia la pili au badala asome la pili anaenda la tatu hivyo hivyo badala ya kidato cha cha kwanza anaingia kidado cha pili....Tena nina wasiwasi akawa anamiaka zaidi ya 18
Mfano labda kaanza shule akiwa na miaka
7+7=14+4=18+2=20
Or
6+7+4+2=19
Or
5+7+4+2=18
Or
4+7+4+2=17
Maono yangu tu,nimejumlisha miaka miwili nikimaanisha2010/4- 2011/4 na 2011/4-2012/4 hiyo ni miaka miwili
amemaliza 2010 which means ameanza 2007(unatoa 3 na sio 4) kwa sababu 2010 ni inclusive
Uko sawa mzee kwa vile unawakilisha zaidi ya +65% ya watz wenye mawazo kama ya kwako ambao kwao maendeleo/mafanikio ni kunawili kwa kupaka mikorogo, kuendesha magari yenye ac, kuwa na simu zenye kamera, kuishi Sinza/Kijitonyama, kusikika redioni na kuandikwa na magazeti (ya Shigongo), kutokosekana kwenye fiesta nk.
Tofauti na wengine ni kutopenda kuumiza kichwa kwa kufikiri ni kwa nini kijana akae miaka karibia saba + nne kutafuta elimu alafu aambulie D moja badala ya A saba. Huoni kuwa pana tatizo hapa!? Na unadhani kama Watz wote watafanikiwa kwa msingi huu unaousema kutakuwa na nchi hapa kweli. Nakukumbusha tu, Mwalimu Nyerere pamoja na wengine walipo declare UJINGA kama adui yetu mkuu tulikuwa na utajiri mkubwa sana wa mito, mabonde yenye rutuba, madini, mbuga za wanyama nk.
Mkuu, you have to re-think kwa maana haya mawazo kama yako ndiyo yametufikisha hapa na si ajabu ndio maana Wakenya wanatudharau!
Mkuu kwa matokeo haya sioni dalili yoyote ya kuwa alirushwa madarasa...na ikumbukwe si kila anaeanza la kwanza lazima asome miaka saba au nimeshuudia watoto wakirukishwa darasa mfano badala asome la kwanza anaanzia la pili au badala asome la pili anaenda la tatu hivyo hivyo badala ya kidato cha cha kwanza anaingia kidado cha pili....
Hehehe
Huwa namsikia akiishia Yes, No bila kuongeza maneno mengine kumbe ana Bendera ktk kingereza
Kwa matokeo hayo kulikuwa hakuna Future ktk mkondo wa elimu zaidi ya Maigizo na Mtikisiko wa ubongo
national examinations council of tanzania
csee 2011 examination results
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
CSEE 2011 EXAMINATION RESULTS
S3548 MIDWAY SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 10 FLD = 8
CNO
SEX
CANDIDATE NAME
AGGT
DIV
DETAILED SUBJECTS
S3548/0001
FANASA BAKARI KASULE
32
IV
CIV-D HIST-F GEO-F E/D/KIISLAMU-D KISW-D ENGL-F BIO-F COMP STUD-F B/MATH-F
S3548/0002
FANASTAZIA AMRI PRUDENCE
33
IV
CIV-D HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F BIO-F B/MATH-F
S3548/0003
FDIANA BOSCO KISIOLY
28
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-D ENGL-F LIT ENG-C BIO-D COMP STUD-F B/MATH-F COMM-F
S3548/0004
FELIZABETH MICHAEL KIMEMETA
33
IV
CIV-F HIST-D GEO-F KISW-D ENGL-F BIO-F B/MATH-F
s3548 midway secondary school div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 0 div-iv = 10 fld = 8
cno
sex
candidate name
aggt
div
detailed subjects
s3548/0001
fanasa bakari kasule
32
iv
civ-d hist-f geo-f e/d/kiislamu-d kisw-d engl-f bio-f comp stud-f b/math-f
s3548/0002
fanastazia amri prudence
33
iv
civ-d hist-f geo-f kisw-d engl-f bio-f b/math-f
s3548/0003
fdiana bosco kisioly
28
iv
civ-d hist-d geo-d kisw-d engl-f lit eng-c bio-d comp stud-f b/math-f comm-fs3548/0004
felizabeth michael kimemeta
33
iv
civ-f hist-d geo-f kisw-d engl-f bio-f b/math-f
s3548/0005
festher benjamin malisa
30
iv
civ-d hist-d geo-d kisw-f engl-d bio-d comp stud-f b/math-f comm-f b/keeping-f
s3548/0006
ffatma abduly abduly
34
fld
civ-f hist-d geo-f kisw-f engl-f bio-f comp stud-f b/math-f comm-f b/keeping-f
s3548/0007
fjosephine thadei mushi
26
iv
civ-c hist-c geo-d kisw-d engl-d lit eng-d bio-d comp stud-f b/math-f comm-f
s3548/0008
fmwajuma shabani kaoneka
-
abs
civ-x hist-x geo-x kisw-x engl-x bio-x b/math-x
s3548/0009
fnasra bernard msekwa
31
iv
civ-d hist-f geo-d kisw-f engl-d lit eng-d bio-f b/math-f comm-f b/keeping-f
s3548/0010
fraines fabian mathias
29
iv
civ-d hist-f geo-d kisw-f engl-f lit eng-c bio-f b/math-d comm-f b/keeping-d
s3548/0011
fzuhura said kinderu
33
iv
civ-f hist-f geo-d kisw-f engl-f lit eng-d bio-f comp stud-f b/math-f comm-f
s3548/0012
mevance aloyce kilawe
35
fld
civ-f hist-f geo-f kisw-f engl-f bio-f b/math-f
s3548/0013
mfarid omary daud
34
fld
civ-f hist-f geo-d kisw-f engl-f bio-f comp stud-f b/math-f
s3548/0014
mfrancis eribariki malisa
31
iv
civ-f hist-d geo-d kisw-f engl-d bio-d comp stud-f b/math-f comm-f b/keeping-f
s3548/0015
mhussein keya mariri
35
fld
civ-f hist-f geo-f kisw-f engl-f bio-f comp stud-f b/math-f
s3548/0016
mikelesho samwel rutubesho
35
fld
civ-f hist-f geo-f kisw-f engl-f bio-f b/math-f
s3548/0017
mimmamu said kinderu
35
fld
civ-f hist-f geo-f e/d/kiislamu-f kisw-f engl-f bio-f comp stud-f b/math-f
s3548/0018
missa shehembe kuziwa
35
fld
civ-f hist-f geo-f kisw-f engl-f bio-f b/math-f
s3548/0019
mpaul dions paul
35
fld
civ-f hist-f geo-f kisw-f engl-f bio-f b/math-f
examination centre ranking
examination centre region
dar es salaam
total passed candidates
10
examination centre gpa
4.5748
centre category
centre with less than 40 candidates
centre position in its category(regionwise)
43/53
centre position in its category(nationwise)
453/779
examination centre divisions performance
regist
absent
sat
withheld
no-ca
clean
div i
div ii
div iii
div iv
failed
19
1
18
0
0
18
0
0
0
10
8
examination centre subjects performance
code
subject name
reg
sat
no-ca
w/hd
clean
pass
gpa
reg/rank
nat/rank
011
civics
19
18
0
0
18
7
4.5556
185/268
2471/3901
012
history
19
18
0
0
18
6
4.6111
95/266
1256/3872
013
geography
19
18
0
0
18
8
4.5556
122/268
1986/3898
015
elimu ya dini ya kiislamu
2
2
0
0
2
1
4.5000
35/103
262/631
021
kiswahili
19
18
0
0
18
5
4.7222
191/268
2511/3901
022
english language
19
18
0
0
18
4
4.7778
180/268
2297/3901
024
literature in english
5
5
0
0
5
5
3.6000
13/46
37/162
033
biology
19
18
0
0
18
4
4.7778
200/268
2951/3898
036
computer studies
10
10
0
0
10
0
5.0000
22/24
62/70
041
basic mathematics
19
18
0
0
18
1
4.9444
232/268
2856/3901
061
commerce
8
8
0
0
8
0
5.0000
185/202
666/719
062
book-keeping
5
5
0
0
5
1
4.8000
78/201
219/709
Tena nina wasiwasi akawa anamiaka zaidi ya 18
Mfano labda kaanza shule akiwa na miaka
7+7=14+4=18+2=20
Or
6+7+4+2=19
Or
5+7+4+2=18
Or
4+7+4+2=17
Maono yangu tu,nimejumlisha miaka miwili nikimaanisha2010/4- 2011/4 na 2011/4-2012/4 hiyo ni miaka miwili
ama kweli Hesabu ugonjwa wa taifa......mfano Lulu alianza la kwanza mwaka 2001 mpaka 2006 (na si 2007) atakuwa amehitimu la saba na 2007 mpaka 2010 (na si 2011) form four utata uko wapi hapo...na ikumbukwe si kila anaeanza la kwanza lazima asome miaka saba au nimeshuudia watoto wakirukishwa darasa mfano badala asome la kwanza anaanzia la pili au badala asome la pili anaenda la tatu hivyo hivyo badala ya kidato cha cha kwanza anaingia kidado cha pili....
Nadhani huo mkokotoo wako una uhakika
Mkuu binafsi sijaona kama Lulu anatatizo hapo, tatizo lipo wa shule yenyewe na walimu, haiwezekani shule ikawa na performance ya hivyo halafu tutegemee Lulu angefaulu, we never know may me angesoma shule yenye performance angefanya vizuri zaidi, MUNGU AMLINDE NA KUMUHEKIMISHA MTOTO WA WATU... Hili nalo litapita tu ktk njia yake mdogo wangu usisoneneke sana...
ama kweli hesabu ugonjwa wa taifa......mfano lulu alianza la kwanza mwaka 2001 mpaka 2006 (na si 2007) atakuwa amehitimu la saba na 2007 mpaka 2010 (na si 2011) form four utata uko wapi hapo...na ikumbukwe si kila anaeanza la kwanza lazima asome miaka saba au nimeshuudia watoto wakirukishwa darasa mfano badala asome la kwanza anaanzia la pili au badala asome la pili anaenda la tatu hivyo hivyo badala ya kidato cha cha kwanza anaingia kidado cha pili....
hayo ni matokeo ya kawaida ukizingatia mazingira na maisha aliyokuwa anaishi. huwezi tarajia performance ya hali ya juu wakati all the time anawaza kujirusha na kutanua tu.... japo pia shule zetu zingine vimeo, akili binafsi nazo husaidia.
hii ndo tatizo la vijana wanaochipukia hawaoni umuhimu wa elimu zaidi ya kuwaza maisha ya starehe... [uzuri wa mtu uko kichwani na kila kitu utafanikiwa]
Tusiwe kama wageni wa shule jamani; kufeli mtihani wa Form 4 sio ndo kufeli Maisha au kwamba ndo mwisho wa Elimu hapo, wangapi hata baada ya kuanguka wakanyanyuka na kujipukuta hata mwisho wa siku mambo yao yakanyooka pengine hata kumzidi yule alopata Div 1 au 2 kwenye mtihani huo wa Form 4???