Poor unataka kila mida tuchangie na kusifia chadema, mlikuwa mnataka baraza libadilishwe yap JK amekubali kulisuka upya sasa mnahaha baada ya kukosa biti ya kucheza nayo mtaani mtaenda kwa matukio huku kina mbowe,slaa na josephine wakiendelea kuzitengeneza
hii thread yako haina mshiko tafuta wakina rejao wachangie huu umbea wako