Recent content by ratio

  1. R

    JamiiForums Tanzania Polisi: Benki bongo zimeajiri majambazi

    Wakiamua kuwafutilia watakamatwa tu kwani ndani ya bank kila teller huwekewa camera so mi rahisi kuwatrak
  2. R

    JamiiForums Tanzania Gharama/kodi ya kutoa food processing machine Bandarini

    Kaka tuwasiliane naweza kukutumia hiyo machine kutoka usa
  3. R

    JamiiForums Tanzania Unajua E.Lowassa sio Mmasai, ni Mmeru aliyeasi kabila, Arumeru mkataeni ila hela kuleni

    Ikabila unaanza kuwatafuna mshindwe
  4. R

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi(BRT) Dar - Agosti 17, 2015

    Naamini huu mladi hauta fika mbali hawa jamaa hawajajipanga kabisa mladi mkubwa kama huu huwezi kukulupuka na kuweka mabasi balabalani eti kisa uchaguzi ili wapate kula
  5. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kilichofanyika Monduli ni unafiki mkuu

    Mleta uzi inaonekana hujitambui siasa ni mchezo mchafu
  6. R

    JamiiForums Tanzania Siri nzito zilizovuja kutoka Team Lowasa hizi hapa

    Kaka mageuzi hilo ndio wazo langu pia kuna u mafia unaandaliwa wa kuakikisha lowasa hapati nafasi ya kugombea uraisi kwa ticket ya chama chochote nchini lowasa hawezi kuwa raisi wa nchi hiii
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke anywa sumu na kufa baada ya kufumaniwa na mume akifanya mapenzi na mjomba wa mumewe

    Dhairi alikuwa hampendi mshikaji alikuwa hana sababu ya kinywa sumu angesepa tu
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo hoteli 10 bora na za ajabu zaidi ulimwenguni... zagharimu billions of $$

    Na mbona umesahau hotel moja maarufu sana Atrantis iko bahamas
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka atoka kwenye Ukumbi wa Bunge kwenda kulilia nje

    Huyu jamaa atakuwa mgonjwa mangapi makubwa yametokea lakini hakulia anamatatizo ya akili au anatafuta umaarufu huyu jamaa nilikuwa namuona abamaana sana kumbe kenge tu mtu mziima hovyo kabisa
  10. R

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete, Kutembelea Mfungwa na Mwizi wa EPA Kunatia Shaka

    Ni bora amarize mda wake tuchague kiongozi atakae ongoza hii nchi vizuri huyu mshikaji kaiaribu sana nchi
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mradi wa mabasi yaendayo kasi (BRT) na Dar es Salaam Rapid Transit (DART)

    Sasa mabus ya aina hii na hao walemavu je
  12. R

    JamiiForums Tanzania Historia ya jina la Mwigulu Nchemba

    Kwani picha kitu gani mwigulu picha inatolewa na imawekwa ya mwigulu tetetete unajua wewe katabia kako ndio kanakualibia kuna wanasiasa wengi tu kutoka ccm ni wazuri sana lakini hawana tabia kama yako Yaani wewe ni hatari kama ukoma da
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye CV ya mrembo Jackie Cliff

    Huyo dada ni muuza sembe. Tayari amekamatwa china akiwa na Lete 66 tumboni mpaka jamaa yake naye ni muuza sembe nashangaa serikali imasubili nini kumtia nguvuni
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mwigamba: Baada ya Zitto ni Dr. Slaa

    Anapelekwa na nani kama huna cha kufanya bora ukalime
Back
Top Bottom