Mwenye CV ya mrembo Jackie Cliff

Hahaha...hadi kieleweke mwaka huu,wauzaji woteee mtanyea ndoo tu..KUTOKA KIMAISHA HAKUNA SHORTCUT....
 
Kuna uzi humu,huyu nae keshadakwa Macau China na kete nyingi za madawa! Kama ni kweli mods ungeni habari hizi!

Kwa nini waunge habari hii ya 18 months ago na ya sasa?

Forum ndio itakuwa na maana gani bila related threads za zamani?
 
Siku si nyingi mtamsikia hongkong kanaswa na sembe....

Kashanaswa wiki hii huko Macau, ingia humu

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/575686-picha-mrembo-wa-kitanzania-aliyekamatwa-na-heroin-china.html
 
kwani si amekamatwa tayari huko Macau,Thailand

Macau na Thailand ni sehemu mbili tofauti rafiki...

Macau ni moja ya mamlaka zilizopo chini ya nchi ya China na Thailand ni nchi nyingine iliyopo karibu na China.

Mji mkuu wa Thailand, Bangkok ni moja kati ya miji iliyochafuka sana kwa biashara haramu za kila aina ikiwemo hii ya madawa ya kulevya.

Watanzania wengi hujifanya kwenda huko kibiashara kumbe wengine hufuata mzigo huko kama hii ya madawa ya kulevya.
 
Ukiona mtu anajisifia ana hela nyingi muogope kama ukoma. Debe tupu huwa haliachi kutika. Kwa muda mrefu watu wenye hela wakifanyiwa udadisi neon linalotangulizwa ni kuonewa wivu. Sasa hii ndio kitu gani kuuza sembe?
 
Doooh hadi natetemeka,!!!!jamani namuonea huruma,!!!bora afungwe asinyonge,!!!what a waste of life....
 
Ndio hawa hawa Alhaj Kapuya aliosema watoto wao wanafanya biashara ya PODA lakini hawakamatwi kwa kuwa hii ni serikali yao!!!

Hawa ni mapunda watoto wao na wachora njia pengine ndo maana hawakamatwi
 
Macau na Thailand ni sehemu mbili tofauti rafiki...

Macau ni moja ya mamlaka zilizopo chini ya nchi ya China na Thailand ni nchi nyingine iliyopo karibu na China.

Mji mkuu wa Thailand, Bangkok ni moja kati ya miji iliyochafuka sana kwa biashara haramu za kila aina ikiwemo hii ya madawa ya kulevya.

Watanzania wengi hujifanya kwenda huko kibiashara kumbe wengine hufuata mzigo huko kama hii ya madawa ya kulevya.

oh good,thanx for the clarification
wabongo wengi sana ndo zao yani,
 
Back
Top Bottom