Naumia sana kujua kuna watu bado wanasoma RAI. Gazeti la New Habari, chombo cha habari kilichotumiwa na JK kuingia madarakani, kilichotoa waandishi wa habari waliotumiwa kumchafua Salim A. Salim, New habari ni kichaka cha walamba viatu vya wakuu. Kwa sasa Rostam Aziz baada ya kutishiwa na serikali ya JK, kama kawaida yao chombo hiki ambacho hakijawahi kujisimamia tangu alipoondoka mama Rosemary Mwakitwange, hawana mishahara, waandishi wanajua pale ni kijiweni, mahali pa kupata computer zile za zamani na soko la wanasiasa uchwala. Ndio maana kwa muda mwingi pamekua kijiwe cha wakina Kafulila, wakina shonza, mwampamba.
Kuhongwa magari ya mitumba
Karibu miezi 2 au 3 iliyopita wafanyakazi wa habari wasio na mishahara walimwagiwa magari ya mitumba yale ya mwaka 1990 ambayo ni chakavu na hivyo ku attract hire tax. Magari haya yakiwemo Krugger anayoendesha sasa Kibanda, Noah na hiyo ya sasa anayoendesha Mulindwa yametolewa na Zitto kabwe kupitia kampuni ya kaka yake. Hebu fikiria kwa kampuni ambayo ndio inayoongoza kwa kuwalipa waandishi mishahara midogo, tena wakiwa wanallipwa kwa kukopwa kwa miezi inawa guarantee hao wafanyakazi wasio na mishahara mikopo ya magari. Tunajua mishahara yao ni average ya laki mbili hadi tatu kwa mwandishi wa kawaida isipokua wale wanaoletwa pale kwa kazi maalumu wakilipwa na waliowaajiri wakiwemo Kibanda, na huyo Mulindwa anayelipwa na Bashe.
Bashe Mwanasiasa Uchwala
Kwa sasa hivi Bashe hajul;ikani anafanya nini, hana uwezo wa lolote zaidi ya kutumiwa kuwaandalia wakina Lowasa urais akitegemea kupandia humo, hana uwezo wa kuongoza wala kutawala. Hana muda ni kama vile kila kitu chake kiko shaghala baghala, Kwa sasa wale wote walioko habari wako desperate, kwa maana hata hao wakina Kibanda na Bashe ambao walikua na matarajio la wakina EL wanaona kuwa huko mbele hakueleweki, lakini their options are limited. Kwa hiyo wanachoangalia ni yale yale ya chukua chako mapema. Ndio maana wamekua rahisi kutumiwa na kusimamia huo mkakati wa Zito kwa kuwa kwa sasa ndio source yao ya income. These people are not behaving any differently from any cheap prostitute.
Mwigamba, Juliana Shonzi, Mwampamba
Cheap Politics! Hivi unahitaji kujua ni akili ndogo ya kiasi gani kwa RAI ku chagua kuwa ndio matoleo ya kila balaa inayotoka CHADEMA? hapa sisi political analyst tunaita ni political suicide, ndicho wanachofanya wakina Bashe, na Kibanda. Asichojua Kibanda wakati akiwa na kesi ya jinai mahakamani iliyomhusu Mwigamba, documents zinabaki kama evidence, when this country is liberated, kuna mtanzania atakayeweza kuamua ku put things right, je hii haim link huyu -------- kibanda na Mwigamba kwenye a possible treason? hivi ni njaa ya namna gani inayoweza kukufumba macho na ku put your offsprings kwenye such a risk? After all the likes of Mwigamba, Shonza na Zitto Kabwe, will never be making any statements in the future politics of this country. Kibanda should concentrate on finding out his fate, after all that has happened, work on his girl problem in the press room, kwa kuwa inaonekana ni brand, Bashe atabaki msomali milele, kama wakina Bandora hawa nao siku Somalia ikitulia, hatutawaona hapa, tunataka vijana watakaojua hili na kukataa Tanzania kubaki kama kichaka cha majambazi, tuwakatae hata kama ni rafiki zetu na tulikula nao vinono