Recent content by rass a town

  1. rass a town

    Wazazi wa panya road wanajua kuzaa tu, tutawafunga miezi 6 jela

    Hahgaaaaaa eti dogo kajikuta mochwari
  2. rass a town

    Jamaa amekataa kwenda kumuona mke wake hospitali kisa kajifungua mtoto wa kike

    Mhh vijana wa arusha nao ni wambea duuh cio kwa umbea huo
  3. rass a town

    Sababu moja wapo kwa nini niliacha kuangalia filamu za kibongo

    Noooo bongo mtu anaweka sumu kwa chakula then anaonja mhhhh bongo movie
  4. rass a town

    Je, ni gazeti gani huwezi kulinunua?

    Magazeti ya serikali ama magazet yanayounga mkono chama flan kwangu noooo na magazet ya umbea nooo
  5. rass a town

    Nampenda sana lakini ana mke

    Hizo siri za jandon unakuja omba ushaur jf kumbavu gabithaa
  6. rass a town

    Aliyetolewa macho yawezekana yeye ndiye mkosaji

    Ulimwona saa anatoa kisu ?
  7. rass a town

    Tetesi: Wema Sepetu a.k.a Tanzania sweatheart kuolewa hivi karibuni

    Dada kahaba hilo kila siku Mpya ukimwi utamhusu tu
  8. rass a town

    Tetesi: Wema Sepetu a.k.a Tanzania sweatheart kuolewa hivi karibuni

    Taarifa zenyewe umetoa Instagram unaleta huku yaani yaan we kichaa kati ya watanzania wanne
  9. rass a town

    Nataka Milioni 3 narudisha 3.5 ndani ya wiki 3.

    Unatakaee jikopeshe mwenyewe
  10. rass a town

    Je CHADEMA bado mnaendelea kuamini kuwa Lowasa ni maarufu na ana nguvu kuliko Magufuli?

    We usimfananishe Mzee wetu maumvi na mambo ya kijinga wewe
  11. rass a town

    Hakuna haja ya Nyerere Day

    Wewe ni mtu usiekuwa na akili hicho kitabu unachosema kina udini mtupu na we utakua una udini bara lote la Africa wanajua mchango wa nyerer ndio maana amejengewa nyumba kubwa juz na wenzetu hixo ni dalili za kuheshimika Leo hii we pang'ang'a cjui umetokea wapi na ujinga wako unataka kutuamisha...
  12. rass a town

    Kifo cha Mwalimu Nyerere 14/10/1999, ulikuwa wapi?

    Nilikuwa Chuo mwaka was pili calfonia America tulikuwa wanafunzi wanne hapo Chuo tukaitwa pamoja na wanafunzi woote tukapewa pole nyingi tuliumia saana kwa kweli
  13. rass a town

    Natafuta kazi

    Neno kufundisha jion ni kuwa hata wewe unaweza kuanzisha jiongeze boos mnapenda ajira duhh
  14. rass a town

    Hivi sisi wenye Samsung galaxy 6, na iPhones tunachanganya post zetu Humu na wenye tecno na itel?

    We utakuta una cm kimeo tu cha msingi kila MTU ana maisha yake na uwezi wake parata kabisa
Back
Top Bottom