Point sio kwamba ni bikra sana tatizo ni kwamba huyu bibi harusi kashindwa hata kuficha makucha kwa kipindi kifupi tu hicho hadi ndoa ipite ye kaamua kugawa
Ndo maana tunakomalia bikra tu
[emoji91]GOBA NJIA NNE[emoji91]
[emoji362]Site ipo meter 300 toka barabara ya lami
[emoji362]Pia ni km6 tu toka stendi ya Magufuli
[emoji537]Huduma kama Maji (dawasco), umeme na Hospital vipo hadi site
[emoji922]Neighborhood ni nzuri na hakuna uswahili kabisa
MALIPO
[emoji385]Bei ni Tsh...
[emoji91]KIBAHA PICHA YA NDEGE[emoji91] Maarufu kama mji mpya [emoji362]Site ni nzuri na tambalale[emoji362] -Huduma za umeme na maji hadi site -Site ipo barabara ya tarura inayoelekea -stendi ya treni ya umeme (Boko Timiza) Kwa Malipo[emoji385] -Tsh 12,000/sqm kwa cash -Tsh 15,000/sqm kwa...
Habari wanajamvi karibuni kwenye threat hii,
Noble Real Estate ni wauzaji wa mashamba na viwanja waliojitika hasa katika jiji la Dar es Salaam na Pwani. Viwanja vyetu vimepimwa na vinatambulika toka Wizara ya Ardhi.
Nitakua nikiwaletea miradi mbali mbali kuanzia picha, bei na maelekezo...
Mbopo mradi uliopo saivi kiwanja cha bei ni per sqm ni 18,000/= nipo sehem nzur sana na usafir ni juu ya ofisi na si mteja...
Nadhan hio taarifa yako haiko sawa mkuu unapotosha umma
Ukinunua kiwanja kwa kampuni zilizosajiliwa inakuwa rahisi kupata hati na kinakuwa kimepimwa pia kiwanja kutokua na migogoro.
Karibu Noble estate ujipatie kiwanja kwa bei nafuu. Kuna viwanja maeneo ya Mbopo, Kibaha na Kigamboni. Bei ni nafuu na unaweza kulipa kwa awamu.
Kwa maelezo zaidi...
I think we're missing a point here.
Watu wanasema kumsaidia mwanaume si kigezo cha kumfanya akupende, swali ni je mwanamke ndio aliemtongoza mwanaume?? Kama jibu ni hapana then kwenye swala la upendo mwanaume ndo mwenye kosa kwa kuanzisha mahusiano pasipo kua na nia ya kumpenda Kipepeo wa chuma1...
Japo skubaliani na anko wa mitano tena...
Watoto kama hawa ni kuwalamba stick tu, unasomeshwa bure unaenda kuonyesha ufahari wa sim shule badala ya kusoma af saiv unaleta habar za kuomba ushaur wa ajira, wakat ajira yako ya kwanza (elimu) umeiletea uzembe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.