Ni hatua gani za kufuata wakati wa kununua kiwanja kwa mara ya kwanza?

Nunua viwanja vya kampuni yenye usajili kwa sababu viwanja vyao vinakuwa vimepimwa na hati unaipata baada ya muda mfupi tofauti na viwanja vya watu binafsi vingi havina hakika.

Pia nenda NHC na Halmashauri za miji baadhi wana miradi ya viwanja vizuri tu vilivyopo katika mipango miji, Kuhusu utaratibu wa kununua utapata utaratibu kwao ikiwa kuna nyaraka watazihitaji watakuagiza uwaletee.
 
Nunua viwanja vya kampuni yenye usajili kwa sababu viwanja vyao vinakua vimepimwa na hati unaipata baada ya muda mfupi tofauti na viwanja vya watu binafsi vingi havina hakika.

Mwambie pia ukweli vitakuwa na bei sana.. 3 au 4 times ya bei ya black market
 
Hello Marafiki,

Mimi ndio nataka kununua kiwanja kwa mara ya kwanza, ningependa kujua ni processes gani nazopaswa kufuata ili kukamilisha manunuzi hadi umiliki unaotambulika kisheria.

Na pia ni mambo gani nayopaswa kuzingatia kabla na baada ya kununua kiwanja.
Ifikapo july waziri wako anataka viwanja vyote viwe na hati vimesajiliwa kwa majina yaliyomo kwenye kitambulisho cha nida so anza mchakato kabisa
 
Ukinunua kiwanja kwa kampuni zilizosajiriwa inakua rahisi kupata hati na kinakua kimepimwa pia kiwanja kutokua na migogoro...

Karibu Noble estate ujipatie kiwanja kwa bei nafuu. Kuna viwanja maeneo ya Mbopo, kibaha na kigamboni. Bei ni nafuu na unaweza kulipa kwa awamu...
Kwa maelezo zaidi tuwasiliane
Bei zenu zipo juu sana yani Mbopo mnauza SQM moja 25000/= jee maeneo ambayo yameshaendelea si mtauza 50000/SQM
 
Nunua viwanja vya kampuni yenye usajili kwa sababu viwanja vyao vinakua vimepimwa na hati unaipata baada ya muda mfupi tofauti na viwanja vya watu binafsi vingi havina hakika.

Pia nenda NHC na Halmashauri za miji baadhi wana miradi ya viwanja vizuri tu vilivyopo katika mipango miji, Kuhusu utaratibu wa kununua utapata utaratibu kwao ikiwa kuna nyaraka watazihitaji watakuagiza uwaletee.
Shukrani mkuu
 
Hello Marafiki,

Mimi ndio nataka kununua kiwanja kwa mara ya kwanza, ningependa kujua ni processes gani nazopaswa kufuata ili kukamilisha manunuzi hadi umiliki unaotambulika kisheria.

Na pia ni mambo gani nayopaswa kuzingatia kabla na baada ya kununua kiwanja.
Usinunue kiwanja bila kujua status ya kiwanja juu ya umiliki halali je ni cha familia kwa maana cha urithi au lahasha, na je anaekuuzia anatambulika na majirani? Na hakina migogoro? Au pia kimepimwa? Je hakuna miundombinu itakuja pita hapo,

Hayo maswali waulize hawa
Majirani
Mtendaji wa kijiji
Mwenyekiti wa kijiji
Afisa ardhi
Tarura
 
Pia nenda NHC na Halmashauri za miji baadhi wana miradi ya viwanja vizuri tu vilivyopo katika mipango miji, Kuhusu utaratibu wa kununua utapata utaratibu kwao ikiwa kuna nyaraka watazihitaji watakuagiza uwaletee.
fxcT.gif
 
Bei zenu zipo juu sana yani mbopo mnauza SQM moja 25000/= jee maeneo ambayo yameshaendelea si mtauza 50000/SQM
Mbopo mradi uliopo saivi kiwanja cha bei ni per sqm ni 18,000/= nipo sehem nzur sana na usafir ni juu ya ofisi na si mteja...
Nadhan hio taarifa yako haiko sawa mkuu unapotosha umma
 
Hello Marafiki,

Mimi ndio nataka kununua kiwanja kwa mara ya kwanza, ningependa kujua ni processes gani nazopaswa kufuata ili kukamilisha manunuzi hadi umiliki unaotambulika kisheria.

Na pia ni mambo gani nayopaswa kuzingatia kabla na baada ya kununua kiwanja.
Hongera sana, hakika mitano tena itapendeza
 
Unataka cha aina gani jee surveyed plot au vya kupimiana miguu? Kama ni surveyed plot nakushauri nenda ktk haya makampuni ya real estate kwanza viwanja vyao vimepimwa na pia unalipa kidogokidogo kwa muda wa miezi 6 hadi mwaka kama ni hivi vya kupimiana miguu inabidi ufanye utafiti wa kina kujua uhalali wa eneo husika maana unaweza kuuziwa eneo kumbe la mtu mwingine au open space.

Pia washirikishe majirani pasipo muuzaji kujua ili wakupe uhalali wa eneo husika na pia kama ukikuta muuzaji anauza bei chini sana kuliko thamani ya eneo husika tafakari kwa kina kwanini bei iwe chini sana maana hakuna sekta inayoongoza kwa utapeli kama ardhi hata hawa wenyeviti wa mitaa usiwaamini sana.
 
Back
Top Bottom