Nimevuruga kikao cha watu, hakuna ndoa tena

BIKRA MATTERS
Mkuu umefanya jambo gumu sana...ila ni bora kuoa malaya usiyemjua kuliko malaya unayemjua.........

Mimi mwenyewe jambo kama hili limeikumba ndoa tarajiwa ya ndugu yangu na sijui pakuanzia we acha tuuu....

Natamani nikukode ukakiwashe maana ndugu yangu mwenyewe hana la kufanya amechanganyikiwa anashindwa kufanya maamuzi
 
Point sio kwamba ni bikra sana tatizo ni kwamba huyu bibi harusi kashindwa hata kuficha makucha kwa kipindi kifupi tu hicho hadi ndoa ipite ye kaamua kugawa

Ndo maana tunakomalia bikra tu
 
Wataoana. Trust me. Na wewe utakuwa adui yao namba moja. Usipende kujihusisha na mambo ya watu wawili hadharani hasa wenye akili za kitoto kama huyo mdogo wako
Huyo mwanamke atachakarika sana kwa waganga kumroga jamaa amuoe. Jamaa awe makini sana asikaribishe mjadala wowote mwingine na huyo msichana. Usishangae ukisikia ndoa inaendelea.

Ndoa zilivyo ngumu kwa wadada hawezi kukubali imponyoke, atafaiti hadi dakika ya mwisho. Ila akifaulu kuolewa atakuwa malaya sana ndani ya ndoa.
 
Apige chini...uyo dem atakuja msumbua sana kwenye ndoa kama akikomaa kufunga nae ndoa...

Dem n kabila gan??
 
Wataoana. Trust me. Na wewe utakuwa adui yao namba moja. Usipende kujihusisha na mambo ya watu wawili hadharani hasa wenye akili za kitoto kama huyo mdogo wako
Hata wakiona hakuna cha maana kitakacho endelea kwenye maisha yao kwasababu mwanaume hawezi kumuamini tena mwanamke.

Yani uoe mwanamke ambae umemfumania kipindi ambacho maswala ya ndoa yametamalaki? Hakuna mwanamke wa ndoa hapo, huyo ni malaya tu.

Jokajeusi umefanya kweli,wakiona watajuana wenyewe mbele ya safari.
 
Hata wakiona hakuna cha maana kitakacho endelea kwenye maisha yao kwasababu mwanaume hawezi kumuamini tena mwanamke.Yani uoe mwanamke ambae umemfumania kipindi ambacho maswala ya ndoa yametamalaki? Hakuna mwanamke wa ndoa hapo, huyo ni malaya tu.

Jokajeusi umefanya kweli,wakiona watajuana wenyewe mbele ya safari.

Huyo hajui akili za wanaume anahaki kujifariji hapo
 
Huyo mwanamke atachakarika sana kwa waganga kumroga jamaa amuoe. Jamaa awe makini sana asikaribishe mjadala wowote mwingine na huyo msichana. Usishangae ukisikia ndoa inaendelea.

Ndoa zilivyo ngumu kwa wadada hawezi kukubali imponyoke, atafaiti hadi dakika ya mwisho. Ila akifaulu kuolewa atakuwa malaya sana ndani ya ndoa.

Ndoa ishakufa Mkuu.

Tusharudishiwa Michango yetu.
 
Point sio kwamba ni bikra sana tatizo ni kwamba huyu bibi harusi kashindwa hata kuficha makucha kwa kipindi kifupi tu hicho hadi ndoa ipite ye kaamua kugawa

Ndo maana tunakomalia bikra tu

Binti angekuwa bikra angekuwa na uwezo wa kumuambia mshikaji yupo tayari kuthibitisha hajalala na mwanaume mwingine. Lakini ndio hivyo tena
 
BIKRA MATTERS
Mkuu umefanya jambo gumu sana...ila kuoa malaya unayemjua kuliko malaya usiyemjua.........
Mimi mwenyewe jambo kama hili limeikumba ndoa tarajiwa ya ndugu yangu na sijui pakuanzia we acha tuuu....natamani nikukode ukakiwashe maana ndugu yangu mwenyewe hana la kufanya amechanganyikiwa anashindwa kufanya maamuzi

Akicheka na Nyani atavuna mabua. Awe mwanaume aache kujilegeza
 
Binti angekuwa bikra angekuwa na uwezo wa kumuambia mshikaji yupo tayari kuthibitisha hajalala na mwanaume mwingine. Lakini ndio hivyo tena
Nakuunga mkono lakini naogopa!

Ninapoangalia ulimwengu na yaliyomo halafu wanaoyapinga mko wachache hivi
 
Hahaahaaa ila wewe jamaa una kipaji Cha Asili,daaa huyo Binti atakua anakuona Kama jini mkata Kamba

Utakua unaogopwa hatari haahaaa
Watu watakua wanajistukia Sana kwenye familia yenu ukitimba kikao chochote kile maana daaa hatari na nusu!

Joka Jeusi katika ubora wako!

Salute!
😁😁😁😁
 
Safi sana mkuu Jokajeusi , wanaume kama wewe wamebaki wachache sana, Msimamo, naamini ata siku ya kumvisha pete mke wako hukupiga magoti, maana kuna hawa wanaume suruali wameibuka wanapiga magoti wakiwa wanawavisha pete wachumba zao, fucken,

Wakifika kwenye ndoa wakiambiwa wapike au waoshe vyombo na kufua nguo wanakua wakali wakat ujinga waliuanza toka siku ya kwanza, pumbavu sana
 
Sihudhurii vikao mara Kwa mara ukiona nimehudhuria ujue nimeitwa Kwa maamuzi magumu mno.

Yale ambayo wengi hushindwa kuyasema na kuyafanya
 
Safi sana mkuu Jokajeusi , wanaume kama wewe wamebaki wachache sana, Msimamo, naamini ata siku ya kumvisha pete mke wako hukupiga magoti, maana kuna hawa wanaume suruali wameibuka wanapiga magoti wakiwa wanawavisha pete wachumba zao, fucken,

Wakifika kwenye ndoa wakiambiwa wapike au waoshe vyombo na kufua nguo wanakua wakali wakat ujinga waliuanza toka siku ya kwanza, pumbavu sana

Sikupiga Magoti na hata wazazi wangu walinambia nikipiga Magoti wangetoka na kutuachia shughuli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom