Recent content by Range_

  1. Range_

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Hahahah maneno tuu haya ww jamaa
  2. Range_

    NEW MEMBER

    Pamoja sana wakuu wangu
  3. Range_

    Tanzania mpya

    Watanzania wenzangu ule wimbo wetu wa taifa kuna ambe anaukumbuka Au ule wa TAANZANIA TANZANIA Mm nimezisahau hizi nyimbo nisaidien
  4. Range_

    NEW MEMBER

    Hodi wapendwa wana Jf
  5. Range_

    Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

    Kanisa l gwajima linachukua watu wangapi Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
  6. Range_

    Huu ndio msimamo wa Rais Magufuli juu ya vyeti feki

    Mhe. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa TANZANIA Mhe. JOHN pombe Magufuli alishazungumzia swala la vyeti fake na wale wasio na vigezo katika utumishi wa umma Ama serikalini. Nakumbuka kuna operation kagua vyet kwa watumishi wa uma ilifanyika nchi nzima Mhe. Rais anaweza kalia kimya hili swala la...
  7. Range_

    Mvutano wa RC na Pastor

    Pastor hana makosa kama kasema ukwel ila kama kasema uongo mbele ya jamii tena katika madhabahu ya kuabudia hafai kua Pastor Swala na DAUD ALBERT BASHITE Ni swala zuri pia kuzungumziwa kwan ule ukwel utajulikana na uongo utajulikna tunaitaji vyet orgnal ya RC BASHITE Ili mjadala ufungwe
  8. Range_

    Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

    Mm huabnaona anesababisha hii hali kujitokeza ni mwanamke mwanaume hua ni muoga sana tena ukigusia swala la mke wa mtu Wanawake wengi wamekua wakianza kujipendekeza kwa wanaume ile hali anajua kabisaa ana mume Na hii imekua ikianzisha mazoea sana mpaka wanajikuta wanasex then baadae ndo...
  9. Range_

    Kiusalama, Tundu Lissu kumwambia Rais kuwa "ameropoka" ni kosa kubwa sana

    Kuna kauli nimekua nikizisikia kwa Mhe Rais akiwajib wananchi majibu ya kishujaa sana je kwa kua yeye ni mkuu wa nchi hatakiwi kuambiwa au Hebu na wewe mtoa post usiropoke Fikiri kwanza
  10. Range_

    Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    tuambiwe kaenda kwa majukumu gan na s erikali itoe tamko kua yuko wap huyu mkuu wetu
  11. Range_

    TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    SALAAM, samahani nilifanya aplication then nimesahau password naomba m,saada wenu plzz
  12. Range_

    Mwigulu na matusi kwenye kampeni!

    Huko ni kuishiwa sera na yeye hajui kua anajiharibia alishaonesha nia kua anataka kugombea urais wa nchi baadae je anafikiri kua taifa linamchukuliaje kama kiongozi Mm sina imani kama mtu anaweza kuchagua mtu ambae hana maafili
Back
Top Bottom