Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,897
- 3,705
sasa mbona sentence fupi ila watu wanatoa maelezo kurasa 6 inakuaje au ilikosewa kuandikwa maana aya maneno muda mwingine ukikosea kuandika yanaleta maana nyingine kabisa mfano iwe "serve" then uandike "save" lazima uingie chake
sindo hapo sasa, alafu ukiwaambia wabishi kweli.