NEW MEMBER

Mm ndio mpokea wageni humu..
Tupe taarifa kidogo kukuhusu ww mean profile. Then tuone tunafanyaje
 
Karibu sana dogo ila uache uvivu na mahudhurio duni.

Kwa nini mpaka sasa kwenye madaftari yako ya Darasani hujaandika kitu wakati umesajiliwa miaka miwili iliyopita?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom