Mwigulu na matusi kwenye kampeni!

Mwigulu na matusi kwenye kampeni!

Huko ni kuishiwa sera na yeye hajui kua anajiharibia alishaonesha nia kua anataka kugombea urais wa nchi baadae je anafikiri kua taifa linamchukuliaje kama kiongozi
Mm sina imani kama mtu anaweza kuchagua mtu ambae hana maafili
 
Siasa sio uongo dogo
Siasa ni sayansi na sayansi ni ukweli.
Andika hayo matusi ya Mwigulu au wapi alitukana kama umeongea ukweli.
 
hivyo unaposema katukana ndo basi inatosha? katukanaje? huna video? wapi na wapi hiyo ilikuwa? hebu andika kirefu cha TANU hapo!
.
Umeniwahi mkuu haya mahaba waliyo nayo kwa Lowwaas yanawafanya kutojua matusi ni yapi tena bila ushahidi....wazungu wanasema "if udont have evidence you dont have a right to speek".....matusi wanayatoa akina Ngwajima na Tunduuuzzzzz!!!!
 
Tukaneni kwa kadri mtakavyo ila fahamuni kuwa tumeamua kuwa Lowasa anatosha! Kura zote tutampa na hakuna kinachoweza kubadilisha maamuzi yetu. Mwiteni majina yote ila sisi Lowasa ni raisi wa awamu ya tano! Basi!!!

Hakuna U-turn kwenye speed kali. Gari limeshika kasi kweli kweli.... 180KPH!

Uzuri matendo yana tosha kuwapima CCM, Mtusi na kejeli zao dhidi ya wana mageuzi wote ni sawa na chura kupiga teke unakuwa umemsaidia kumsongesha. teh... teh....!
 
Kwa CCM mtu akijaariwa upumbavu kwa level za DR DR DR kwao ndo majembe mfano KIBAJAJI asie na elimu ila ya uMC wa matusi basi kwao ni lulu MWIGULU kwao ni lulu....
Hivi MTU huwezi fanya siasa hadi umtukane mtu
 
Nilianza kumheshimu huyu jamaa alipokua naibu waziri kwa kuonekana mzalendo, sijasikia matusi ila kama kweli katukana basi kajivunjia heshima na ajue kuna maisha hata baada ya harakati za uchaguzi mkuu
 
tukaneni kwa kadri mtakavyo ila fahamuni kuwa tumeamua kuwa lowasa anatosha! Kura zote tutampa na hakuna kinachoweza kubadilisha maamuzi yetu. Mwiteni majina yote ila sisi lowasa ni raisi wa awamu ya tano! Basi!!!

you nail it kamanda!!!
 
Hana adabu.Naomba huyo Mwigulu anijibu hapa ''mzee LOWASSA anafanana nini nawe?''Mr. Lowassa is far out of
Mwigulu's class. Jitambue Mwigulu, tena kwa ufupi sana[in a nutshell], mzee Lowassa deserves to be your father,au
malezi yako ni vipi? Siasa hazifanyi wenye busara wawe kinyume na maadili.
 
Wala simshangai huyo na Lusinde kama Mzee wao katukana Jangwani hao si wameover-all matusi yao?
 
Kweli inasikitisha kutoka kamasi kwa mtu ni hoja ya kuongea kwenye mkutano au kumwita binadamu mwenzako mfugo hatutaki matusi elezeni mmetufanyania nini na mtatufanyia nini
 
Nchi hii yetu.sote baada ya uchaguzi iwe mabadiliko au kazi tu uhasama wa nini
 
Nawaombeni san Ukawa makosa haya wanayofanya ccm muyatumie kikamilifu. Wakiwatukana washitakini kwa wananchi. na muwaeleze kwamba Lowasa hajawahi kumtukana mtu yeyote tangu aanze kampeni!
 
Ukiona MTU anatukana tu ujue hana hoja ya maana.kabanwa kwenye kona,hana cha kufanya.
 
Huyu wanamnaniii wenzake ata uwaziri ajapatabure
 
Nawaombeni san Ukawa makosa haya wanayofanya ccm muyatumie kikamilifu. Wakiwatukana washitakini kwa wananchi. na muwaeleze kwamba Lowasa hajawahi kumtukana mtu yeyote tangu aanze kampeni!

Katika Hali Inayoashiria Kuishiwa Hoja Mwigulu Nchemba Mara Nyingi Amekua Kiuara Wa Kutoa Matusi Kwenye Mikutanao Ya Kampeni Za CCM Kumtukana Mgombea Wa UKAWA Mh Lowassa Kila Kona.

Mwigulu Huyu Aliyetaka Kugombea Urais Kwa Matusi Haya Tumwite Kiongozi Wa Aina Gani? Hivi Siasa Ndio Imfanye Amtukane Mwenzake Kiasi Hiki Ambaye Naye Ana Familia Na Ndugu Wengine Wanaomfuatili?

Hivi Mwigulu Hana Familia Ambapo Yeye Ndiye Kiongozi Wake Kimaadili Nyumbani ? Ni Wapi Imesikika Kokote Lowassa Amemtukana Mwigulu Au Yeyote Yule Ndani Ya CCM?

Mwigulu Atambue Kua Hii Nchi Ni Yetu Sote Na Mwisho Wa Matusi Yake Uko Karibu Sana.



Mara nyingine nafikiria na kuona kuwa acha atukanwe tu mana hajatuambia kuwa matatizo yote aliyoyapata yamesababishwa na nini.!
Kwa ni Lowasa huwa hajibu hata hoja nyepesi tu kama ile ya kununu chadema kwa bil.10.
Ajitokeze hadharani alalamike kwa wananchi matusi na kejeli anazopewa sio kukaa kimya.

Kama Gwajima angekaa kimya leo hii Slaa angekua shujaa lakini majibu ya Gwajima na Kakobe na Sumaye yamemmaliza na kumpoteza Slaa. Wote tumeona unafiki na kukosa shukrani kwa Slaa.

Lowasa azungumze kwa watanzania jinsi anavyokosa amani kwa kudhalilishwa na watoto wadogo ili wapewe nadaraka.

Watanzania tumelogwa na CCM .Bado kuna watu nje ya familia za viongozi wanaoamini kuwa CCM itabadilika eti kwa sababu ya magufuli tena kwa kuwarudisha wabunge na madiwani wale wale.Mawaziri walewale wale wanaolalamikiwa kufanya kampeni za Rushwa kila mahali huku wakiendesha siasa za chuki.
 
Back
Top Bottom