Recent content by ramson34

  1. R

    Matatizo ya Mitsubishi GDI

    Gari iko poa tu!! Shida wabongo tunapenda sana kupotoshana!!
  2. R

    Msaada: Utararatibu Kaymu

    kaymu sidhani kama wako serious!!! Wakiona order yake faster watakupigia simu baada ya kulipa ni more phone calls..
  3. R

    Update ya Twiga Cement

    Ulifanya interview gani????
  4. R

    Vodacom kuna nini....network imekata ghafla!

    Watu tunaotumia 4G version cellphone tunapeta tu..
  5. R

    wanaume wanaume wanaume...jiangalieni jamani

    Hiyo ni 2 way traffick..kwani hakuna akina dada wanaonuka midomo na vikwapa..acha kuwa bias..
  6. R

    Cyanide

    Cyanide ni normal consumable kwenye modern mining ni kweli ina madhara sana kama haitakuwa handled vizuri!! Si kitu cha ajabu sana kwa hiyo kusiwe na upotoshaji katika hili.. Hii bidhaa ina fall kwenye category ya highly controlled goods kwasababu inaweza kutumika kutengenezea biological...
  7. R

    samsung galaxy s2 inatakiwa haraka

    I have it, laki 4.5 naiachia kwako!!! Ni PM if you are serious on this..
  8. R

    Sijui ni mapepo Au nini! I THINK NINA PEPO LA NGONO.

    Subiri kufa au kutolewa busha!!!
  9. R

    Natafuta toyota altezza/lexus

    Wadau ninatafuta toyota altezza/lexus ambayo iko imported but haina namba (probably from show roo,). Iwe na sifa zifuatato:- iwe na rangi nzuri either nyeusi au blue. iwe na real spoiler na body kit. iwe na reasonable milage. iwe na hali nzuri sana ndani na nje. kama imesajiliwa basi isiwe...
  10. R

    Nyumba ya kununua inahitajika haraka.

    Ninahitaji nyumba ya kununua iwe sehemu reasonable kama tabata, bagamoyo road mwisho boko..Iwe na vyumba vitatu na fensi au sehemu ya kujenga fensi kupaki hata gari 2 ndogo. Iwe na hali nzuri au iwe ktk standard ambayo mtu unaweza kukarabati. Isiwe na mgogoro wowote kama vile ardhi au...
  11. R

    Ajali mbaya ya basi yaua zaidi ya watu 51 zambia.

    LUSAKA, Zambia (AP) - February 7, 2013 (WPVI) -- Police in Zambia say at least 51 people have been killed after a bus crashed into a semi-truck north of the country's capital of Lusaka. Police spokeswoman Elizabeth Kanjela said the crash happened Thursday morning at Chifamba, a town about 100...
  12. R

    Trade off between plot and house.

    Wadau, I am interested to get someone who will be ready to do a tradeoff between house and plot for an exchange with additional of money. I have a plot with clean tittle deed (99 yrs) at BUNJU A approximately 1 km from Bagamoyo road with 705 sqm.Very nice corner plot, accessible by 3 sided...
  13. R

    Home sweet Home via Google Earth

    Google earth mpango mzima!!
Back
Top Bottom