Matatizo ya Mitsubishi GDI

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,651
14,318
Wadau kuna mtu anataka kuniuzia mitsubishi gdi ya namba b. Nini matatizo makubwa ya haya magari. Na vipi kuhusi spea zake? Ili nijue kama jamaa anataka kunisukumia msala au anauza kwa nia njema ni kweli kakwama. Nini uzuri na ubaya wa gari hizi
 
Iyoo
Wadau kuna mtu anataka kuniuzia mitsubishi gdi ya namba b. Nini matatizo makubwa ya haya magari. Na vipi kuhusi spea zake? Ili nijue kama jamaa anataka kunisukumia msala auanauza kwa nia njema ni kweli kakwama. Nini uzuri na ubaya wa gari hizi

Iyoo ni mimba me niliuza langu mil 2.
Chukua ata vits
 
iko kwenye hali gani. Tuma picha za engine, body na za chini ya gari. Istoshe inabidi uende na fundi unayemwamini muikague pamoja.
Gari hiyo ukiipata kwenye hali nzuri ni nzuri kama rav4.
Matatizo ya hiyo kwa wasio watunzaji wazuri ni misi misi ya mara kwa mara, kuzimika ovyo na engine kukosa nguvu
 
Gari iko poa tu!! Shida wabongo tunapenda sana kupotoshana!!
Sio kupotoshana unatakaiwa uwe muelewa kuna baadhi ya gari ni nzuri sana ila mazingira yetu hapa ndio yanatufanya tuyaone mabaya hiyo gdi ni gari nzuri na kuna zile gar za toyota zina engine za D4 pia ni gari nzuri sana isipokuwa mazingira yetu,,kwanza petrol station nying mafuta yao hayana ubora,,ukija kwenye oil nyingi ni feki na hizo engine hazitak hayo mambo ,,na ukuthubutu tu ukaweka mafuta mabaya au oil ambayo haiko starndad kwenye hizo engine bhas utamtafuta mchawi aliyeiroga gari yako,,sasa kwann umshaur mtu kumiliki gar la hivyo,,si bora uchukue tu haya ma 5A,4E,3s ambayo yenyewe yanavumilia shida
 
Sio kupotoshana unatakaiwa uwe muelewa kuna baadhi ya gari ni nzuri sana ila mazingira yetu hapa ndio yanatufanya tuyaone mabaya hiyo gdi ni gari nzuri na kuna zile gar za toyota zina engine za D4 pia ni gari nzuri sana isipokuwa mazingira yetu,,kwanza petrol station nying mafuta yao hayana ubora,,ukija kwenye oil nyingi ni feki na hizo engine hazitak hayo mambo sasa kwann umshaur mtu kumiliki gar la hivyo,,si bora uchukue tu haya ma 5A,4E,3s ambayo yenyewe yanavumilia shida
Ya kwangu engine ilizingua nikatoa nikafunga 3s,maisha yanaendelea,ila gia box itakubidi ubadili,Four wheel unatoa,pia control box unaweka nyingine na baadhi ya mifumo ya umeme inakuwa cancelled,ila iko poa tu.
 
Umeona mkuu,,nyingi huwa wanafanya hivyo ila watu wamekalia kusema mafundi wa tz hawajui,,wanasahau kuwa petrol na vilainish vingi hapa bongo sio quality,,sasa yann mtu akimbilie gar ambayo haitaki hizo dosar kwa sabab hata vilainish vya bp ambavyo wanavisifia vipo fek vilevile,,
 
Nimekusoma kaka,ila ni gari nzuri kama ukimudu hayo.
 
Gdi ni nzuri sana ila sio kila fundi anaweza kuitengeneza na inavumilia shida nina miaka 11 nayo hainisubui
 
Sio kupotoshana unatakaiwa uwe muelewa kuna baadhi ya gari ni nzuri sana ila mazingira yetu hapa ndio yanatufanya tuyaone mabaya hiyo gdi ni gari nzuri na kuna zile gar za toyota zina engine za D4 pia ni gari nzuri sana isipokuwa mazingira yetu,,kwanza petrol station nying mafuta yao hayana ubora,,ukija kwenye oil nyingi ni feki na hizo engine hazitak hayo mambo ,,na ukuthubutu tu ukaweka mafuta mabaya au oil ambayo haiko starndad kwenye hizo engine bhas utamtafuta mchawi aliyeiroga gari yako,,sasa kwann umshaur mtu kumiliki gar la hivyo,,si bora uchukue tu haya ma 5A,4E,3s ambayo yenyewe yanavumilia shida
Vipi GDI yenye engine ya 3s
 
Back
Top Bottom