Home sweet Home via Google Earth

Home sweet Home via Google Earth

aah we kweli ni mwenyeji wa kijichi.ni jirani yangu.kama hutojali tutafutane this december kwa kufahamiana.kijiwe changu cha ku-socialize ni pale Uwakiki Pub njia panda Neluka.

Ntakutafuta Mkuu.., majaaliwa mwisho wa mwaka au mwaka mpya.
 
Najihisi siyo mpweke tena baada ya kusafiri Virtually toka hapa nilipo mpaka home via Google Earth.Hii mitaa ndipo mama yake na kadoda11 na Ndg zake wengine wanaishi.Nakaona kakibanda ka Bmkubwa(mama yangu) kwa mbaaalii.i miss you mama.natamani wadau wengine muweke Google Earth images za mitaa yenu na hata ya Vijiji vyenu cos sasa dunia ishakuwa kijiji na google Earth iko more advanced inapenya kila pembe ya dunia.

Unam-miss vipi wkt unaishi naye?! Kiswahili nachooo...!!
 
Najihisi siyo mpweke tena baada ya kusafiri Virtually toka hapa nilipo mpaka home via Google Earth.Hii mitaa ndipo mama yake na kadoda11 na Ndg zake wengine wanaishi.Nakaona kakibanda ka Bmkubwa(mama yangu) kwa mbaaalii.i miss you mama.natamani wadau wengine muweke Google Earth images za mitaa yenu na hata ya Vijiji vyenu cos sasa dunia ishakuwa kijiji na google Earth iko more advanced inapenya kila pembe ya dunia.
View attachment 73402

Mimi ndo maana naipenda TZ yangu!!! Imekuwa bingwa duniani kutengeneza plan za neighborhood zetu bongo!! Brilliant...
 
Mimi ndo maana naipenda TZ yangu!!! Imekuwa bingwa duniani kutengeneza plan za neighborhood zetu bongo!! Brilliant...
.....na huwa sipati picha ikitupiwa google earth image inayoonyesha neighborhood ya ubungo,kimala nk.:bowl:
 
Hii nchi haina Serikali bali ina genge la mafisadi, angalia mpangilio wa nyumba mpaka kinyaa! Hakuna idara ya mipango miji-ni hovyo hovyo, vuta pesa za posho za semina, warsha, kongamano, workshop, symposium na upuuzi mwingine!
umeonaeeee
 
Huko kaka wameshafika na wana uwezo wa kukuona mpaka unavyoishi ndani ya nyumba yako,sasa hivi wanahangaika kuona wale wanaojificha kwenye mashimo na kupanga mashambulizi dhidi ya wamarekani.

nitafurahi hiyo technology itumike ku track na kuangamiza kabisa alshabab ili jirani zetu kenya waishi kwa amani.
 
Back
Top Bottom