kwa wanawake je umeshawahi mtamani mwanaume kimapenzi kumtamani tu na sio kumpenda

Mimi nlishawatapanya mademu wengi walonitamani tu kwa mavituz....ila hatujawahi kuwa wapenzi!
 
Mi huwa nawamezea mate tu.

Kuvuliwa chupi big noooo.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hahahahahah unapenda umbea utasutwa!!! mbona kawaia hiyo sema mshori wa kibongo wanaogopa kufunguka tu....
usiniambie kitu cha semina mka sharen0 ideas na usiku mka share kitanda
 
katiba inaniruhusu Article 18 provides,the right to freedom of conscience sa yeye anizodoe inahuuu.

mjini hapa vibamia havina nafasi kwakweli unless wewe ni mnene maana nimepewa theory kuwa wanene wanapenda vibamia
 
hahahahahah unapenda umbea utasutwa!!! mbona kawaia hiyo sema mshori wa kibongo wanaogopa kufunguka tu....

kuna dada mmoja humu alishawahi sema hiyo kitu yenu imeumbwa kwa ajili ya kufujunyuliwa ya nini uiweke tu usiitumie kwani imekuwa fixed deposit ya benk
 
Muda mwingine ina kuwa ni vigumu kupata ukweli kutoka kwa mtuhumiwa!
 
the guy was hot meen...yani ma6 pack, na maexternal features ya ukwee, afu kichwani pia alikuwa nondo kwenye presentation in short alinizidi upeo...nikasema dah haiwezekani huu utukufu nisiushuhudie basi taratataaah...kitu na box

we mtoto mi ushanishinda yailahi na siku zinavozidi kwenda ndo unazidi kuwa mwehu!
ahahahahhahhahah yani nimechekaje kwa sauti eti ....................basi taratataaaah......kitu na box!
 
hahahahah mamito usipite huku bana, nilikuwa nachangamsha kijiwe lol....just story
we mtoto mi ushanishinda yailahi na siku zinavozidi kwenda ndo unazidi kuwa mwehu!
ahahahahhahhahah yani nimechekaje kwa sauti eti ....................basi taratataaaah......kitu na box!
 
Back
Top Bottom