Recent content by Raja Borry 1

  1. R

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Watu hawana choyo,hata wewe wamekupa likes!
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moja ya tabia mbaya kabisa ya wanawake ambayo inayumbisha ndoa nyingi

    Naona hata wenye id za kike humu wote wanashangaa hii tabia! Ni ajabu sana.
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kumuelewa huyu mwanaume

    Labda tu nikuambie,jamaa hakutaki na hakupendi ila hataki kukuacha kwa style ya kwamba "yeye ndio kazingua". Anachojitahidi sasa hivi ni kutengeneza mazingira ya wewe kuonekana ndio mkosaji. Akili zetu wanaume wakati mwingine tunazijua wenyewe.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

    Inafikirisha,mpenzi wa mtu kusifia lundo la wanaume!kuna harufu ya kuibiwa hapa.
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikutarajia kuumizwa namna hii!

    Kumbuka bado ana mpenzi wake wa zamani (yule bwana yake wa zamani hajafa,na kuoa hakuwez kufanya kiporo kisipashwe). Sent using Jamii Forums mobile app
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tatua tatizo la uume mdogo

    Hahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kiba unapofanya "Yaaaaaa" unaharibu nyimbo na unaboa

    Team domo katika harakati za kujikwamua na mchujo wa mapema wa nyimbo zao!
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwa siko comfortable kudate mdada aliyenizidi marks za shule

    Hii hatari.Mi niliishia kidato cha pili lakini sasa hivi nadeti na mwajiriwa mwenye degree.....pole sana,waone wataalamu wa saikolojia!
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    Duh Fanya kwenda Jf doctors itakuwa poa mkuu
  10. R

    JamiiForums Tanzania Naweza kubadilisha kozi chuoni?

    Baed ni programu, na sio mfano wa kozi mkuu!
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tatua tatizo la uume mdogo

    Ngoja nifanye Ku subscribe hii thread,kisha nisubiri USHUHUDA...
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ewe msichana, kwanini uzae kabla ya kuolewa?

    Nipo serious, umempata mume...ni Mimi hapa.Weka mawasiliano tuanze kuyajenga!
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tetemeko Tanzania!,Taarifa Rasmi za Kitaalam ni Kutoka Marekani! . Shame on GST! .

    Pasco ina maana hujui kama Jana (siku tetemeko limetokea) ilikuwa jumamosi (wikiendi) na siku hizi hakuna posho za overtime!
  14. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatua 11 za kufuata kumshawishi mwanamke mfanye mapenzi

    Mbavu zangu zauma kutokana na hiki ulichoandika mkuu
  15. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ufafanuzi wa neno "KAA VIZURI" kwa jinsi ya kike

    Kukaa vizuri ni kukaa mkao unaoendana na tukio lililopo wakati huo!
Back
Top Bottom