Hapana kwa karafuu sishauri mtu kupaka uumeni/sirini.Kuna mtu alitamani kukuza akaagiza dawa matumizi ikawa hivyo kupakaa dawa yenyewe ilikua karafuu ilikua balaa wakuu mi naona mtu aridhike na alicho nacho, mapenzi ni ufundi na ubunifu tu
Usimtaje mwenyezi mungu kwenye haya mambo yako ya kipuuziSubhaanallah.
Post of the day.Nimevutiwa na hekima pamoja na ukarimu wako. Hakika wewe ni doctor wa kweli na umedhihirisha utu uzima. Jf imevamiwa na watoto ambao sijui walikua panya road hata sielewi. Maana unaweza post kitu serious, lakini kitakachochangiwa humo unaweza juta. Big up broh
Ni kwelivustadh nivdoctor mzuri na nivmwenye busara sana ila hawa panya road nao ndio wanainogesha thread kwa kuhoji hata kama kuhoji kwake hakuna maanaNimevutiwa na hekima pamoja na ukarimu wako. Hakika wewe ni doctor wa kweli na umedhihirisha utu uzima. Jf imevamiwa na watoto ambao sijui walikua panya road hata sielewi. Maana unaweza post kitu serious, lakini kitakachochangiwa humo unaweza juta. Big up broh
We utakuwa uliweka mlenda. Au ulikosea masharti.Msijaeibu huo upuuzi nyieeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!! Italalaaaaaaaaa
Itakulakwenuuuuu
Dah huyu jamaa anatka kuwatia watu majanga!
Ni kweli mkuu wale wa mipasho leo hatueaoni kabisa katikamada hiiViumbe wa ajabu sana hawa, huwa wanachangia mipasho tu, issue kama hizi hawapo kiongozi
Ni kweli mkuu ndio wadogo zetu na ndugu zetu wametuzunguka kwenye jamii yafaa kwenda nao sawia tu kiongozi coz hatuwezi kuwaepuka mkuu.Viumbe wa ajabu sana hawa, huwa wanachangia mipasho tu, issue kama hizi hawapo kiongozi
Ni kweli mkuu dadu wadogo zetu hawa yafaa kuwavumilia na kuwaelekeza si wajua mtoto akijisaidia mkononi huukati wauosha tu.Ni kwelivustadh nivdoctor mzuri na nivmwenye busara sana ila hawa panya road nao ndio wanainogesha thread kwa kuhoji hata kama kuhoji kwake hakuna maana
Wanasaidia watu wengine kufahamu kutokana na ujinga wao
Nashukuru mkuu kwa kunielewaNi kweli mkuu dadu wadogo zetu hawa yafaa kuwavumilia na kuwaelekeza si wajua mtoto akijisaidia mkononi huukati wauosha tu.
Kisha wamuelekeza mahala pa kujisaidia mwisho ataelewa tu kiongozi. Nashkuru pia kwa kampani yako mkuu. Thanks a lot.
Karibu Sana.