Tatua tatizo la uume mdogo

Kwanini tiba azipatikani hospital za kawaida tatizo hospital zetu za serikali zinakosa ubunifu wa maitaji ya watu
 
Mkuu,
Umeshindwa kutoa maelezo ya kisayansi kuhusu hiyo tiba. Kwamba mafuta ya olive yanasaidiaje plus hiyo hartiti.
Any side effects in case there is.
What if nothing happens as to changes?
What to do when all is at a worst case?
 
Athari kubwa ya kuongeza ukubwa wa pampu ni kwamba dude linakuwa kubwa ila tepetepe kishenzi kwasababu moyo unakuwa haujaji-condition kupeleka damu ya kutosha kwenye mpini in case the guy gets sexually aroused. Matokeo yake unaishia kuwa na pampu kuuuubwa ambalo haliwezi kugonga ngozi ipasavyo. Mwisho wake unaishia kuwa na maumbile makubwa kwa ajili ya show-off tu ukienda beach au ukiwa na watoto wa kike. (Na hapo ndipo topic inapohama mtu anaanza kutumia maviagra na mizizi pori...... And then and then and then......eventually mashine inaanza kuwa over reliant kwenye dawa za kuongeza nguvu.... And then unaishia kuwa hanithi..... hatimae unaweza ukajikuta unaishia kwenye upunga!) Vijana tuweni makini aiseee
Umetoa angalizo bora kabisa
 
Natamani kuleta Matokeo ya Huu uzi kwa picha ila Mod wata ni block!

Aaah! wee huna matokeo wala nini unazuga tu,vipi lakini lwandamina kashaini jangwani? au bado mnasikilizia kwanza?safari hii mtamsoma mnyama kwani marefa lazima watoke nje ya nchi na sio kina Sanya tena waliozoea kuwabeba.
 
Sasa mkuu huo unga wa Hartiti nikiweka kenye kikojoleo changu hautasababisha maumivu makaaali..?
 
Wanaokejeli usiwajali al ustadh, utakuta wako pembeni na hartiti, si unajua mtu hataki kuonekana ana kibamia. Wewe ona tu watu wanavyotiririka ndio ujue umewagusa.

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
Nimepishana na pick up ya tani saba imebeba mzigo wa hartiti ikitokea bandarini,dereva alikuwa ni ustadh bila shaka tuvute subri kuanzia kesho hartiti itakuwa nyingi madukani
 
Naombeni mniulizie kwa ustadh kuwa,mama watoto akinyonya dhakar niliyoshindilia hartiti hawezi kuwa na mdomo mkubwa?maana itanifanya niongeze kipimo cha chakula hapo home
 
Back
Top Bottom