Huwa siko comfortable kudate mdada aliyenizidi marks za shule

Huwa siko comfortable kudate mdada aliyenizidi marks za shule

Kumbe na wewe ndo wale vimbelembele wenzangu! [emoji12] [emoji12] [emoji12] kutwa kuwafanya wakaka wajione vi.la.za darasani kwasababu msichana anaongoza.
Halafu mwenyewe unakuwa huna hata habaree. Unaona kawaida tu. Matokeo yakitoka kitu no.1, first class.... Yani full kimbelembele.

Basi unashangaa vidume vinaanza kukuogopa kiaina. Foleni inapungua kama sio kuisha kabisa.

Ni experience nzuri.
 
MI binafsi I have always liked smarter guys than me...mtu akiwa kipanga anafurahishaa
 
,endelea kumtafuta kilaza mwenzio uwe comfortable
 
Halafu mwenyewe unakuwa huna hata habaree. Unaona kawaida tu. Matokeo yakitoka kitu no.1, first class.... Yani full kimbelembele.

Basi unashangaa vidume vinaanza kukuogopa kiaina. Foleni inapungua kama sio kuisha kabisa.

Ni experience nzuri.

Kumbe una maakili hivyo?

Ngoja nitoke nduki...sio saizi yangu wewe.
 
Mimi nilithani ni shida kumbe huna shida sana
Mimi nina shida ya kutamani wadada mviringo. Demu akiwa mwembamba hanipi stimu
 
Unawaogopa bure, First class my foot. Think about their private parts how have suffered to get 4.5 GPA. Wengi mi niliowaona wanakuwaga ni ambitious kupita reality. Kwa vyovyote lazima apate GPA kubwa vibuti ndo usiseme, vikigoma anatanua mapaja...
 
Akili ya darasani wakati mwingi haiendani na ushapu au ujuaji wa mambo. Asilimia kubwa watoto wanaozaliwa hurithi akili ya mama, ukimwoa wa chini yako utapata watoto wenye IQ ndogo. Shida ni kuoa mke mjuaji.
 
Bwana Yesu apewe sifa watanganyika wenzangu!

Wakuu,

Mimi ukweli huwa siko comfortable kabisa kudate mdada kipanga zaidi yangu, mfano mimi form 4 nilipata div 1.16, form 6 nilipata 1.7 na chuo nilipata lower second so huwa naprefer zaidi kudate mtu aliyepata marks za chini yangu au zinazokaribiana.

Sasa sijui nina inferiority complex au nina maradhi gani wakuu?
Kwa hiyo unadai vyeti mda wa kutongoza?
 
Hii hatari.Mi niliishia kidato cha pili lakini sasa hivi nadeti na mwajiriwa mwenye degree.....pole sana,waone wataalamu wa saikolojia!
 
Kumbe na wewe ndo wale vimbelembele wenzangu! [emoji12] [emoji12] [emoji12] kutwa kuwafanya wakaka wajione vi.la.za darasani kwasababu msichana anaongoza.
Kwa kujisifia tu best wakati ulikuaga unaburuza mkia
 
Back
Top Bottom