Recent content by Raia

  1. R

    JamiiForums Tanzania Bungeni: CHADEMA yawavuruga wabunge, jazba zatawala na muswada wa katiba mpya haujadiliki

    Huko mjengoni wanajadili HOTUBA YA MSEMAJI WA KAMBI YA UPINZANI KWA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA na sio muswada wa Katiba.
  2. R

    JamiiForums Tanzania CCM/CUF washambulia Wanaharakati- CDM wapinga kupitisha Mswada wa Mapitio ya Katiba

    Nipo njiani kuelekea nyumbani nikisikiliza Bunge, nastushwa na sentensi ya Mbunge kutoka Zanzibar anachangia kuhusu Muswada wa Katiba, mwanzoni ninadhani kuwa mjadala wa Muswada umefungwa kw akuwa karibu dakika tano Mwakilishi huyu anazungumzia CHADEMA. Aliponishangaza zaidi ni kuwa kule Znz...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nape, Lusinde walichokuta Mwanza kimewatosha

    I go through the lines sijakutana na sentensi inayozungumzia mimba na kupanda ukuta, sijui kama ndio uandishi wa kisasa ama mpasha habari alikuwa miongoni wa walipokuwepo mkutanoni?!!!!
  4. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkulo akumbwa na kashfa

    Kumekucha jamani!!!!
  5. R

    JamiiForums Tanzania Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

    Dah, napita kwanza nitarejea baadae.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Msechu (NHC): Natekeleza ilani ya CCM

    Salaam wadau kwa uelelewa wangu mimi kama ni mtumishi katika Serikali fulani hata kama ni mfuasi wa chama chochote ambacho hakiko madarakani lazima unafanya kazi ya "KUTEKELEZA SERA YA CHAMA KILICHO MADARAKANI"
  7. R

    JamiiForums Tanzania Bunge lawaka moto: Lissu, Msigwa na Lema watolewa nje!

    all in all, msigwa katolewa nje kwa sababu ya kupiga makofi sana!!!!
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mzumbe yasafisha PhD feki; Kamala na Nchimbi wajifua upya

    Duh, hii hatari kuna jina hapo nimeliona la Elisante Gabriel nami nilikuwa nafahamu anatambulika kama DR. Kwa mwendo huu hakuna tunachoweza kujivunia kwani hata wale tunaoona ni role model wetu baadhi yao elimu zao ni za mashaka. Tuwe wakweli katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kanumba ndani ya Big Brother House 2009

    Kiingereza sio our mother tongue, tangu tunazaliwa tunazungumza kama si lugha ya baba na mama, basi ni kiswahili kwa kwenda mbele. Hapa ni vyema waandaaji wakaangalia vyema vigezo vyao vya mwakilishi katika shindano hilo, ila kwa ninavyowafahamu wabongo atagangamala mpaka kitaeleweka tuu.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Gervas Mkili is NO MORE

    May his soul rest in peace, Amen.
  11. R

    JamiiForums Tanzania North Mara: Kashfa ya maji ya sumu toka mgodini!

    Sasa serikali yetu ifumbue macho na masikio kusikiliza vilio vyetu wananchi, wamekana sana kuhusu huu mgodi kutiririshakemikali katika maji tunayotumia sisi kama wananchi tunaozunguka eneo husika, nampongeza sana mtu aliyefanikiwa kumpa habari Naibu Waziri ambaye nae hakufanya ajizi akaamua...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ikulu ilizuia Vigogo 3 Kufikishwa Mahakamani

    Hiki kigugumizi hawakujua kama ipo siku wadanganyika tutachoka kudanganyika?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ikulu ilizuia Vigogo 3 Kufikishwa Mahakamani

    Duh, haya anayobashiri Tuandamane tyaweza kutokea kweli siku moja. Na si mbali sana.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Captain George Mazula wa Air Tanzania afariki dunia

    RIP Captain George Mazula.
Back
Top Bottom