commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,952
Unajua hawa wanacheza muziki wa chadema kama kawaida yao.wamejipanga kutoa mipasho kwa chadema badala ya kutoa hoja.vilevile nao wana kikao maalum sasa hivi kikiongozwa na spika.
Li bulaya si ndio lile lilitoka Disko usiku wa manane na wabunge wa ccm wakaenda kufanya fujo guest house ya Chadema?!
Halina maadili hata kidogo. Liende zake disco huko likasakate lumba hapo bungeni sio mahali pake.
Wakuu,
Mngekuwa mnatuletea yasemwayo sisi wengine hatuna access na tv!
umeona eeh.. Nawashangaa. Ni bora mtu aseme tu anaunga mkono hoja kisha akae.. Umemwona Mh. Esta Bulaya? Afadhali Simbachawene katoa elimu ya hicho wanachokiamini. Wengine wooote .... Chademaa,Chademaa, Chademaa,Chademaa....!Ndugu zangu mnaofuatilia mjadala wa katiba, je hao wanajadili katiba au kutukana chadema na mbunge Lissu. Inahitaji moyo kusikiliza. Jamani hivi wabunge wa ccm ndivyo wasivyo kuwa na hoja. Aibu, aibu, aibu. Komba anaropoka hadi kichefuchefu.
Bunge la leo liko kwenye kampeni za kisiasa, wanajadili uchama na wamepuuza utaifa.Ndugu zangu mnaofuatilia mjadala wa katiba, je hao wanajadili katiba au kutukana chadema na mbunge Lissu. Inahitaji moyo kusikiliza. Jamani hivi wabunge wa ccm ndivyo wasivyo kuwa na hoja. Aibu, aibu, aibu. Komba anaropoka hadi kichefuchefu.
Wakuu,
Mngekuwa mnatuletea yasemwayo sisi wengine hatuna access na tv!
Ukweli ni kuwa move ya chadema imewachanganya CCM! Hawajui la kufanya! Hawakujiandaa na plan B yao sasa inategemea taarifa za kiitelijinsia hali ya upepo huku nje na namna cdm wanavyoungwa mkono! Mipango ya kuvuruga move ya cdm na wanaharakati inaendelea usiku na mchana! Katiba ni moyo wa ccm! Itatumika kila mbinu kuwavuruga wananchi ili tension ishuke!! Hapa kwenye katiba tunahitaji umakini na kujitoa kuliko wakati wowote wananchi wa taifa hili walivyowahi kujitoa! Tushikamane kwa dhati wachache wasituvuruge!Naona anaongea tuuuu na kumfanya Nyerere kama Mungu aliyekuwa Tanzania na ambaye hakuwa na neno au baya lolote kwa Taifa hili.
Anatumia kigezo gani kumsafisha Nyerere milelle kwamba hakuwa na baya lolote ndani ya utawala wake kwa taifa la Tanzania???
Nahisi kukereka na hili Gamba Pevu kwa porojo zisizo na mwelekeo.
Nawakilisha
Nawashauri ndugu zangu wabunge miokubali kuchakachua na kuendelea kujadili muswada huu hebu mtushawishi ni kwanini watanzania tuwaamini kwamba mnafaa tuendelee kuwaamini tofauti na `wale wa chadema. Nalazimika kusema hivyo kwasababu tangu wabunge makini walipoamua kugomea muswada wabunge wote wametawaliwa na CHADEMA KILA mtu akisimama kuchangia anaizungumzia chadema hebu tuambieni hiyo chadema ni kanuni gani au ni ibara ya ngapi kwenye katiba mnayo jadili? pia naomba mniambie chadema ni sheria ipi mbona mawazo yenu ni chadema. Nilifikiri mngetupa njia bora za kuweza kufikia kupata katiba bora na katiba inayoendana na wakati. Nyie wabunge mlioingia huko ni mambumbu wajinga wapumbavu kama mtashindwa kutushawishi tukaona faida ya nyie nyie hanmna uhalali wa kuwa huko na CHADEMA tuwape heshima na Haki ya kututengenezea katiba mpya