Hapa nchini kuna tatizo la watu kushindwa kujua wanawajibika kwa nani katika sekta za umma hasa kutokana na utamaduni mbaya na wa hatari wa kuchanganya serikali na CCM.
Hii ndiyo maana utakuta waziri anawaambia watu kuwa kujenga barabara, mashule, huduma za afya, makazi, nk ni utekelezaji wa ilani ya CCM. Hii si kweli kwa sababu hizi ni huduma za lazima na ni haki ya binadamu yeyote kuwa nazo hivyo huwezi ukasema ni sehemu ya ilani ya chama chochote. Ilani katika mambo haya zinatofautiana katika kuyatimiza au mbinu za kuyaboresha.
Hii yote ni michezo ya cheap politics ambazo wanajua kuwa wengi hawana uwezo wa kuzichambua.
Si kweli.
CCM government, Democrats/Republican government.
Serikali inaundwa na Executive branch, ambayo ipo chini ya Rais ambaye huteua mawaziri,Makatibu wakuu ambao huteua Wakurugenzi wa wizara eg DMDAs ambao ndio wakuu wa wafanyakazi wa wizara hiyo.
Wizara zinasimamia mashirika mbalimbali ya umma, na wakurugenzi wa mashirika hayo huteuliwa na RAIS( I think). Hivyo basi, kwa kuwa mgombea urais hujinadi kwa kutumia manifesto ya Chama chake ni wajibu wake kwa wananchi waliompa ridhaa (wether you believe it or not) kuimplement
manifesto ya chama chake kwa ku design policies mbalimbali.
But those policies ni lazima zipitishwe na Bunge ambalo ni mwakilishi wa wananchi wa majimbo mbalimbali. Zikishapitishwa,mawaziri na wakurugenzi wa mashirika ya umma inabidi wafanye shughuli zao kufuat policies zilizopo eg villagisation policy ita affect Benki kama ya CRDB (ACTUALLY THATS WHY IT WAS STARTED).
Shirika la nyumba nalo ni lazima li-operate kutokana na policies za Government iliyopo, kama mkurugenzi hataki, basi hujiuzulu au kuacha kazi au kufukuzwa na kumleta mwingine anayeweza au aliye willing kufanya hivo.
So, the dude is working for a Public corporation, he has no choice but to do his job according to the current government policies, which are derived from the Manifesto of the ruling Party.
as long as the legislature is cool with it.