Kwa mujibu wa sheria ya Mtoto (2009), Watoto wana ruhusa ya kufanya kazi baada ya kutimiza umri wa miaka 14. Kazi haipaswi kumzuia mtoto kuhudhuria masomo au kupata muda wa kujisomea na kupumzika.
Watoto wasiajiriwe kufanya kazi nyakati za usiku. Yeyote anayewafanyisha kazi watoto kupita kiasi...
Pamoja na haki za kulinda ustawi wa mtoto, kwa mujibu wa sheria ya mtoto ya 2009 mtoto atakuwa na wajibu na jukumu la;
(a) Kufanya kazi kwa ajili ya mshikamano wa familia.
(b) Kuwaheshimu wazazi, walezi, wakubwa wake na watu wazima muda wote na atawasaidia pale inapohitajika.
(c) Kuhudumia...
Kwa mujibu wa Sheria ya Mtoto namba 21 ya 2009, Wazazi na walezi wana wajibu mkubwa wa kuhakikisha kwamba watoto wanapatiwa huduma zifuatazo
-Wanapelekwa kwenye chanjo,
-Wanapatiwa huduma za afya,
- Wanaandikishwa na kwenda shule,
-Wanafuatiliwa maendeleo yao shuleni,
-Wanasikilizwa na...
Work hard to achieve it in a natural, automatic and instinctive way. Start by cultivating these eight habits by Jeff Haden, a ghostwriter, speaker and an influencer
1. They turn to praise. It's easy to see when an acknowledgment is simply a pretext for assigning a long list of tasks. We have...
Desta Gebremedhin Asefa aliwahi kuwa mwandishi wa BBC katika ofisi zilizopo Kenya. Mei 28, 2021 ameachana na chumba cha habari na kujiunga na uwanja wa vita huko Tigray, Ethiopia.
Million Haileselasie, mwandishi wa habari wa DW Amharic, ali-tweet, "Desta Gebremedhin @Desta_Geb, mwandishi wa...
Mlipuko wa bomu uliotokea Mei 21, 2021 katika mkutano wa hadhara wa Wapalestina Magharibi mwa Pakistani umeua watu 6 na kujeruhi 3 akiwemo kiongozi wa chama cha kidini chenye msimamo mkali.
Bomu la pikipiki lililipuka wakati watu wakitawanyika mwishoni mwa mkutano uliofanyika katika Jiji la...
Pengine ni kitu cha kustajabisha masikioni mwako kufahamu mbwa kusababisha goli katika mchezo wa mpira wa miguu. Nafahamu upo na shauku na maswali mengi juu ya jambo hili la kushangaza, soma mkasa huu uliowavutia wengi zaidi miaka 34 iliyopita.
Timu inayozungumziwa hapa ni Torquay United, si...
Carlos Bacca ni miongoni mwa wachezaji bora wa Amerika ya Kusini ambaye huwezi kushuku kipaji chake. Mara kadhaa amekuwa nguzo bora na muhimu kwa klabu aliyoitetea kushinda tuzo.
Msimamo mzuri wa Carlos Bacca umemuongoza kuwa na uwezo wa kutumia fursa kidogo ya kufanya maajabu katika dhamira...
Tukio lilolotoea hivi karibuni Machi 12, 2021 nchini India limeibua mjadala mkubwa baada ya mwanamke kwa jina la Hitesha Chandranee ambaye ni mshawishi wa mitandao ya kijamii (social media influencer) kujirekodi video akionesha jeraha alilopata puani na damu zikiwa zinamtoka huku akimshutumu...
Aliyewahi kuwa Kapteni wa timu ya Taifa India na mchezaji mashuhuri na mwenye rekodi nyingi zaidi wa kriketi kuwahi kutokea nchini humo Sachin Tendulkar amesema, leo machi 27, 2021 amepima virusi vya korona na kugundulika kuwa navyo.
Akieleza hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter...
Rais wa Korea Kaskazini alionekana akiwa hai mara baada ya vyombo vya habari vya Kimataifa kama CNN kuripoti kuwa amefariki dunia. Je, ni kitu gani kilipelekea vyombo hivyo vya habari kutoa taarifa kuhusu kifo chake?
Mwaka 2020 kulitokea uvumi kuhusu kifo cha Rais wa Korea Kaskazini, Kim...
Takribani wanawake 280,000 walifariki kwa saratani ya shingo ya kizazi mwaka 2005 katika nchi za kipato cha chini.
Saratani ya shingo ya kizazi husababishwa na Virusi vya HPV (Human Papillomavirus) ambavyo huingia kwenye kizazi na kuunda seli zisizo za kawaida. Seli hizi zisizo za kawaida...
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) imetoa tamko kuwa, kuanzia tarehe 1/5/2021 Televisheni na Redio hazitaruhusiwa kucheza wala kuonesha kazi yoyote kwenye vituo vyao bila kazi hiyo kuhakikiwa na BASATA (Muziki...
Kampuni ya Kilimanjaro Marathon inayoendesha Mbio maarufu za kila mwaka za “Kili Marathon” zinazofanyika Mkoani Kilimanjaro imetangaza kuwa kutakuwa na zoezi la ugawaji wa barakoa kabla na baada ya mbio kwa wakimbiaji wote wa mbio fupi na ndefu.
Vilevile wameeleza kuwa kutakuwa na kamati...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdallah ametoa Wiki moja kwa Taasisi za Ardhi, Mipango Miji pamoja na Wakala wa Ujenzi Zanzibar kukamilisha utaratibu utakaowezesha kuanza kwa ujenzi wa Majengo ya Taasisi za Serikali katika Mji Mpya wa Dodoma.
Amesema hatua hiyo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.