Recent content by Rahimu Kiiza

  1. R

    JamiiForums Tanzania Ilaaniwe siku ya leo, nimekula chaga za mbavu hatari

    Laana ziwe juu yako Sent using Jamii Forums mobile app
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wanaoitwa wanyonge katika nchi hii ni kina nani?

    Hapa picha inayotumika ni #masikini tusiokuwa nacho
  3. R

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!

    Wewe ujaanzaje kuwahukum waliofanya hivo kama haujui kusoma vitabu vya dini na kunukuu maneno ya M.mungu bota ukae kimya kwani haujui maana ya kufunga nini ila sikulaumu wewe bali mtazamo wako pole sana
  4. R

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Asmir Begovic he has alread sold to another club so he is chelsea playee #Mentor
  5. R

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Goodluck my young brother #Pedro
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tukubali kuwajibika sote

    Ndugu zangu wapendwa tupo katika wakati mgumu kimaisha japo nasema hivo kwa walio wengi wako hivo inakuaje linapokuw alimetokea tatizo tunawahi kulaum na kuja juu kwa bila kutafakari mfano. Timu ya taifa ikifungwa utasikia Waziri awajibike, hivi kweli jamani nimeona mtu mmoja anasema waziri wa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania RC Anna Mghwira: Mtu asijenifuata ofisini kuniambia masuala ya ACT Wazalendo

    Kazi yako mpya isikufanye kuanachama wako
  8. R

    JamiiForums Tanzania Makubwa: Anna Mghwira adai yeye bado ni mwenyekiti wa ACT Wazalendo na hajajiuzulu

    Yuko sahihi na wala msitake kutafsiri vingine kwani alie mpatia uongizi alilijua hilo, hivo inabidi tubadirike na tufanye kazi jamani maneno mengi yanatia uvivu!!
  9. R

    JamiiForums Tanzania Je, maendeleo yako yanafanana na umri wako?

    Ahsante
  10. R

    JamiiForums Tanzania Je, maendeleo yako yanafanana na umri wako?

    Mnachekesha
  11. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta materials ya Records Management

    Hapana sipo chuo
  12. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta materials ya Records Management

    Nawaomba walio soma masuala ya kutunza kumbukumbu kupata material ya semister ya kwanza na pili ya certificate nitashukuru sna!!
  13. R

    JamiiForums Tanzania Bunge letu kuyumba tatizo ni elimu ndogo ya wabunge, kuwa la kichama zaidi au uongozi mbovu?

    Pale Bungeni tatizo ni kwamba tunaleta siasa badala ya kufanya kazi unakuta chama tawala kinameza michango wa vyama vya upinzaji coz hawapebdi kukosolewa ila kama hoja zingekuwa zinachukuliwa na kufanyiwa ufumbuzi mambo yote shwari ila ndio hivo wao wakula Kodi zetu mwishovwa siku tunawalaumu...
Back
Top Bottom