RC Anna Mghwira: Mtu asijenifuata ofisini kuniambia masuala ya ACT Wazalendo

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,804
2,000
Mkuu mpya wa mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghirwa amesema kwa sasa yeye anaitumikia serikali na anapokuwa ofisini anakuwa ana deal na mambo ya serikali tu na mtu asije ofisini kwake kuzungumzia masuala ya ACT kwani kama anataka kuzungumzia masuala hayo itakuwa ni kwenye ofisi za chama hicho.

 

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,786
2,000
Mkuu mpya wa mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghirwa amesema kwa sasa yeye anaitumikia serikali na anapokuwa ofisini anakuwa ana deal na mambo ya serikali tu na mtu asij ofisinikwake kuzungumzia masuala ya ACT kwani kama anataka kuzungumzia maswala hayo itakuwa ni kwenye ofisi za chama hicho
Wakiisha hamia ccm huwa wanabadilika hata uwezo wao wa kujenga hoja sijui ccm huwa inawalisha nini
 

Mkale

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
1,136
2,000
Sisi si CCM imeua upinzani wote ,anzia chadema, Lowassa na Sumaye ,njo CUF Lipumba kashakichafua huko ,malizia na hawa ACT kupewa mashavu ni mkuu!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom