Recent content by R-one

  1. R

    Story behind your date of birth

    Hizi nyota ni ngumu kwel kwel na inakuaje watu wenye nyota sawa jua pamoja mfano mshale awe na mshale au punda kwa punda.
  2. R

    Mikongoraa ni nini? Na ina effect gani?

    Hahahaha hiyo kali ndugu.
  3. R

    Tatizo la kuwa na harufu mbaya kinywani (bad breath) - Chanzo, dawa za kuzuia na ushauri

    Mkuu kwani wewe unatumiaje hiko kitunguu swaumu hadi kinaacha harufu mdomoni, Nijuavyo mimi unashauriwa kumeza tembe (punge) za kitungu swaumu ili kuepuka hiyo harufu. Ila nakushauri utumie tangawizi hasa kwa kutafuna kipande kidogo usahidia kuondoa harufu pia Cc Mzizi Mkavu
  4. R

    Nisaidieni jamani

    Hakuna mimba hapo mkuu siku za hatari zishapita ondoa wasiwasi ila uache kutembea na wanafunzi
  5. R

    Nina furaha moyoni

    Huu utandawaz umeleta balaa dah mkuu usichelee wah kabla ujaingiwa na moyo wa huruma hawa ni wakuachwa tu weng wao hawajielew inavyoonekana ana tamaa huyo.
  6. R

    Wanaume amkeni acheni kulalama

    Huku demu kunuka papuchi siku hizi ni kawaida nmajitakiwa wenyewe kwa kuzidisha makeup huko chin we unaweka mapafyum kibao bila hata kuangalia vitu vilivotumika kutengenezea hiyo pafyumu baada ya muda inageuka kuwa uvundo balaaa tupu. Kunuka papuch sio uchafu siku hizi ni ujinga wa kuendekeza...
  7. R

    Wanaume amkeni acheni kulalama

    Kizuri kula na nduguyo kama anahudumia wanasaidiana ila hapo ndo inaonesha jinsi gan huyo mdada ajitambui kashindwa kufanya ahudumiwe hadi ajidharirishe nje. Papuchi kweli imekua mtaji.
  8. R

    Yamenikuta, msaada tafadhali

    Hayo yanaitwa tumalizane leo leo shida sitaki, hapo inaelekea karudi kwa mshikaj wake wa zaman au bado anapima raha ya utamu hakiipata ndo atakapotulia usiumize kichwa mdau mapenzi ya kileo
  9. R

    Wanaume amkeni acheni kulalama

    Hapa umemaliza kila kitu mkuu tatizo dada zetu wamekaa kimaslai yao zaidi mana mwningine ukimuliza nin maana ya kuhudumiwa atakwambia kutolewa out na starehe nyingne zisizo na mantik yoyote ktk maisha na unaposhindwa hapo unaonekana umeshindwa kuhudumia Unakuta mdada bajeti yake ya makeup ni...
  10. R

    Wanaume amkeni acheni kulalama

    Hapa bado najiuliza hili swala la haki sawa kwa wote linamanisha nini ikiwa mnalalama kujitetea muhudumiwe. Nieleweshe hapo kabla sijakupa like miss chaga
  11. R

    Tigo wanachukua salio langu, wizi huu wa mitandao ya simu utaisha lini

    Mkuu sinaga kawaida ya kujiunga huduma yoyote ila ktk mitandao ya simu zaid ya vifurushi vya maongezi na intanet tu. Huu ni wizi mkuu siku nyngne wanakata salio tu bila hata kutumiwa sms unakuta umeweka 1000 ukichekhek baadae kuna 800, huu ni ukosefu wa maadili ya wafanyakaz tu.
  12. R

    Tigo wanachukua salio langu, wizi huu wa mitandao ya simu utaisha lini

    Nimepokea hii sms toka tigo: From +15668 Umetozwa sh.150 kwa ajili ya hadithi ya PENZI LA MAPACHA. Piga 0901656564 kati ya saa 1 na saa 5 usk kuendelea na simulizi yako. kujitoa tuma ONDOA kwenda 15668 sender +15668. Hii imekaaje wadau sio wizi huu mtu ujajiunga hizo huduma zao halafu bado...
  13. R

    Nimekaribishwa chumbani kwa demu

    Hongera mdau kwa kuruka mtego mana tulikua tunajiandaa kukusanya rambirambi hapa jf
  14. R

    Mabinti wengi hamjitambui ndio maana mnachezewa na kuachwa kwenye mataa bila kuolewa

    Hapo usiombee mshikaji uwe vizur ndan geto la kufa mtu mboni utawapanga dada zetu ni balaa tupu siku hizi
  15. R

    Kule kwenye jukwaa la siasa siendi tena

    Hhahhhhahahaha kule utachezea ban kweli kama roho yako ndogo maana wenzio wanalipwa kwa kila comment kule.
Back
Top Bottom