Wanaume amkeni acheni kulalama

Wanaume amkeni acheni kulalama

Hahaha,unanipa raha.kwa kweli Mimi mwenyewe nimemuacha MTU kwa sababu hii.kwa sababu sipendi kukaa na MTU ambaye hana msaada.MTU unaweza ukaugua ukimwambia anakujibu "hivi kwani Mimi ni daktari"

the type of men u date says alot about u
 
bikra ni sawa kujithamini na uvimilivu.... lakin bado haibadilishi majukumu ya mwanaume....[/QUOT

mwanamke kuhudumiwa na mwanaume ni jukumu lake nae mwanamke kuolewa akiwa bikra ni jukumu lake. sasa wewe umeshindwa jukumu lako na kujishusha thamani bado wataka kuhudumiwa vile vile halipo hilo.
 
miss chagga we unafikiri kwa nini ukikutana na mwanume swali la kwanza lazma liwe 'UNAFANYA KAZI WAPI?' Jibu ni kwamba anataka aone ni kwa namna gani utamsaidia hayo majukumu yake. Hichi kizazi cha sasa ni tatizo sana.
Ee Mola utuokoe na hili janga.
 
Last edited by a moderator:
Chief as long as umeshamuweka ndani kama mke wako haijalishi ulimkuta bikra au tayari bwawa kuwa responsible kwake sio jambo la kufikiria tena bali ni jambo la lazima, usipofanya wewe kwa njia moja au nyingine utasaidiwa, halafu usiombe mke wako aanze kuliwa kisa kutokuwajibika kwako, jamaa anapewa yote mpaka zile style ambazo wewe haujawahi pewa..

wewe ile mere fact kwamba nimemkuta sio bikra tells me alot about her character...one thing is for sure she is not patient enough na yeye kugongwa na watu wengine ni posible 99.99%.
 
kwa nini uwe na mtu usiyekuwa na future naye? kama mtahudumiana mahitaji ya mwili mnasema kupunguza uzito ... basi muhudumie na yeye atakayoyahitaji....hapa siongelei wanawake wachunaji naongelea mwanaume kuwa responsible... mwanaume kuchunwa ni kutokana na we kushindwa kufanya majukumu yako kwa hiyari

hahaha tafakari chukua hatua!! life is too short enjoy every good and bad moment of it! haki sawa kwa wote ahuman being is so complicated dats why we are guided by laws,we differ in thinking capacity,choices,environment,biological,its too hard tomake all the people think the same,,,,what u prefer the most can be strongly denied by others,,,,.bt anway ni ujumbe mzuri mdada!.
 
Ndio ihudumie,,,,,,,,,,, nyie si ndo wa kwanza kuleta thread ooooh demu ananuka kama panya elioza!!!!!!!!!!!!!
KakaJambazi amka acha kulalamika

Huku demu kunuka papuchi siku hizi ni kawaida nmajitakiwa wenyewe kwa kuzidisha makeup huko chin we unaweka mapafyum kibao bila hata kuangalia vitu vilivotumika kutengenezea hiyo pafyumu baada ya muda inageuka kuwa uvundo balaaa tupu. Kunuka papuch sio uchafu siku hizi ni ujinga wa kuendekeza urembo usio na mantiki.
 
huwa napata hasira sana
kuona jianaume linalalamika kumuhudumia mkewe,
ulitongoza ya nini?


Wakati sikuizi nyie ndo mnatongoza wanaume.
 
Huku demu kunuka papuchi siku hizi ni kawaida nmajitakiwa wenyewe kwa kuzidisha makeup huko chin we unaweka mapafyum kibao bila hata kuangalia vitu vilivotumika kutengenezea hiyo pafyumu baada ya muda inageuka kuwa uvundo balaaa tupu. Kunuka papuch sio uchafu siku hizi ni ujinga wa kuendekeza urembo usio na mantiki.

Huo mpingo wako hua unauingiza wapi??????????? smtms hata hujanawa unapalamia papucci...... make tutamia sana hebu uwe unatoa hela ya limao kukata shombo ya gegedo lako,,,,,,,,,,....!!!!!!!!!!
 
swadaktaaaahhhhh!!!!....kama si kinyume.....mwenye macho na asikie kwenye masikio na aone...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom