Story behind your date of birth

Story behind your date of birth

Mkuu tracy Mwenye Nyota ya Mbuzi akiwa na nyota ya Mshale

watakuwa kila wakati wanagomban kwa sababu Nyota zao hazielewani hata kidogo. Na

Mwenye Nyota ya Mbuzi akiwa na Mwenye Nyota ya Mapacha watakuwa uelewani wao ni

mdogo sana. Na Mwenye Nyota ya Mapacha Na Mwenye Nyota ya Ng'ombe hawataelewana

kimapenzi itakuwa kuna ugomvi usio kwisha hapo. Ni Hivi Mkuu:

MAELEWANO YA NYOTA KINDOWA NA MAPENZI NA BIASHARA NA KUSHIRIKIANA KIMAISHA .

Mwanamme Au Mwanamke Mwenye Nyota ya
(CAPRICON) Mbuzi anaweza kuelewana na Mwenye Mtu Nyota ya Kaa (Cancer)

Mwanamme Au Mwanamke Mwenye Nyota ya (
SAGITTARIUS)Mshale Atakuwa na Maelewano na Mtu Mwenye Nyota Ya Mapacha. (Gemini)

Mwanamme Au Mwanamke Mwenye Nyota ya (Aries)Punda Atakuwa na Maelewano na Mtu Mwenye Nyota ya (Libra)Mizani

Mwanamme Au Mwanamke Mwenye Nyota ya NG'OMBE (TAURUS)Atakuwa na Maelewano na Mtu Mwenye Nyota ya (Scorpio)Nge

Mwanamme Au Mwanamke Mwenye Nyota ya (Leo)SimbaAtakuwa na Maelewano na Mtu Mwenye Nyota Ya Ndoo (AQUARIUS)


Mwanamme Au Mwanamke Mwenye Nyota ya (Virgo)Mashuke Atakuwa na Maelewano na Mtu Mwenye Nyota ya Samaki (PISCES).






Hizi nyota ni ngumu kwel kwel na inakuaje watu wenye nyota sawa jua pamoja mfano mshale awe na mshale au punda kwa punda.
 
Loading................Access denied,,try again later,,..Loading.................................................number 9 found
 
MziziMkavu mi nimezaliwa tar 29 mwez wa tatu, naomba kuijua nyota yangu na mambo yote yahusihayo nyota yangu
 
Kwenye maelezo yako kuhusu nyota hapo juu umenichanganya sana. Umeandika kuwa mwenye nyota ya pisces yani samaki na virgo au mashuke ndo wanatakiwa kuoana kwa mujibu wa nyota zao.

Swali linakuja kwenye namba mfano namba 5 best match wake ni namba 1,2,6,8 na 9 kama sijakosea, ukifuatilia unakuta mwenye nyota ya hivyo ana namba tofauti na hizo hapo inakuwaje?
 
Me capricon,7 male. Didnt workout with most of 2s. Still looking...any serious 1 & 4 cancer...plz pm
 
MziziMkavu haya mavitu huwa siyaamini.
But nimesoma hapa yangu, inaonyesha kuna Ukweli kwa Mimi. Big up xana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom