Hakuna mimba hapo mkuu siku za hatari zishapita ondoa wasiwasi ila uache kutembea na wanafunziIlikuwa cku nane kabla ya kupata mzunguko wake

au ndio km yule alikojoa juu ya chu.pi akaambiwa ameshika mimba?isije ikawa ni yule yule
Nenda kanunue Primolut N.
Ni kidonge kimoja tu kidogo tu bei yake ni Tsh.1,000 au 1,500.
Mpe ameze kabla ya 72 hours after sex, acha kupoteza muda hapa jamvini.
Habari wana Jf wenzangu. Mwenzenu nimefanya mapenzi na Dada mmoja ambae nimwanafunzi wa Form five tuli tumia Kondom lakini kweli ile Kondom haina mana ilitoboka bahati mbaya bilakujua na mimi nikajikuta nimesha mwaga ndani.
Sasa nisaidieni njia yoyote ili Mimba isiendelee kukuwa ni Siku ya pili leo toka tufanye mapenzi. Jamani naomba kama hutaki kuchangia usintukane .
asanteni.
Hayakuti mbuzi jamaniHivi utoto mwisho ni miaka mingapi tena???
Habari wana Jf wenzangu. Mwenzenu nimefanya mapenzi na Dada mmoja ambae nimwanafunzi wa Form five tuli tumia Kondom lakini kweli ile Kondom haina mana ilitoboka bahati mbaya bilakujua na mimi nikajikuta nimesha mwaga ndani.
Sasa nisaidieni njia yoyote ili Mimba isiendelee kukuwa ni Siku ya pili leo toka tufanye mapenzi. Jamani naomba kama hutaki kuchangia usintukane .
asanteni.
Yaan condom ilipasuka hukujua???!!!