KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,293
Labda kodi ya chumba imeisha.
labda kodi ya chumba imeisha.
Tumejua bibie alikupa soda na alideki na kitanda alitandika.
Nahisi una IQ ya 0.33
Umekaribishwa wewe unabeba na marafiki. Huu ushamba tutaacha lini?? Marafiki mnaongozana kila sehemu. You need to grow up.
hakuniambia swala lolote la kodi ya nyumba mkuu
Ndo ivo, ungekuja peke yko angekwambia.
Kuna demu mmoja nilishamuomba namba na sijawahi kumtongoza hata siku moja.
Baada ya kuwasiliana mwanzoni texting and calling baadae akanipotezea (mademu hadi umtxt au umcall yeye).
Nikadelete namba yake, nashangaa siku moja unknown calling kwa simu yangu.
Nikarespond, sikuweza kumfahamu akajitambulisha ila nikafix kuwa simu yangu huwa haioneshi majina kwa namba zinazoanza na 0.... bali +255....
Akakubali na kusema no worry. Kanikarbisha kwake (ni single) nimekuta mazaga zaga mengi. Mayai, soda, maji, chips, kitanda dressed well, amedeki chumba.
Ila nilienda na rafiki yangu na alionekana kutofurahi.
Je alikuwa amejiandaa kwa mgegedo au ndio ukarimu wake?
Hadi leo yupo quiet na mimi sijamtongoza.
ushauri jamani.
sikuwahi kulijua hili.. thank u
Umekaribishwa wewe unabeba na marafiki. Huu ushamba tutaacha lini?? Marafiki mnaongozana kila sehemu. You need to grow up.
hahahahhahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ahahhhhahhha mengine hayatuhus si et enh
Yeah chetu kicheko tuu