Recent content by R-ELLY

  1. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Mahakimu uitwa Waheshimiwa

    kwan tatizo ni nin?kama unataka na ww kuwa hakimu uitwe mheshimiwa..vinginevyo yaache mambo kama yalivyo
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    mchambia wima
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

    ushakubali ndoa chupi ya nin?
  4. R

    JamiiForums Tanzania majina ya viongozi na celebrities wetu yakiandikwa kizungu

    wilibroad silaa-wilbroad weapon
  5. R

    JamiiForums Tanzania Pugu Boys Secondary School a.k.a Pond boys

    ''enhee tena kamwambie dada yako mie ndo nampanda'' Sio maneno yangu wadau,ni ticha wa michezo huyo nampanda..
  6. R

    JamiiForums Tanzania kwa wana LLB SAUT.

    Hukulazimishwa kuisoma wala kuijibu,kama umeona haikufai nenda ukafie mbele!!
  7. R

    JamiiForums Tanzania KATI YA SUA,MZUMBE,MUCCOBs,UDSM,SAUTna UDSM KIPI CHUO BORA NA KWA SABABU GANI?

    Non sense!!! Nenda uka google!!!
  8. R

    JamiiForums Tanzania Why UDSM is ranked number 1 , 2 and 3 in TANZANIA

    acha ushamba wewe,kama unasoma au ulisoma ud then what???
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kama hujafanya haya wewe haujakaa uswazi. (uswahilini)

    Teh!teh!nakumbuka kuna jamaa alipinga mbong'oo na housegal,siku moja wakat jamaa anafua akiwa kainama housegal akamfyatua jamaa teke la matakon jamaa akadondoka kichwa kikazama kwenye povu..kesho yake jamaa akamlia timing housegal akiwa anapika huku kainama,jamaa nae akamfyatua teke,hausigal...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Re: Ujinga

    Ujinga ni kushangaa mtu kupost kuhusu kujamba wakati hata baba'ko huwa anajamba!
  11. R

    JamiiForums Tanzania Re: Ujinga

    ujinga ni kubanwa haja kubwa halafu ukienda chooni unaishia kujamba!!
  12. R

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    BARCA HAWABEBEKI,wamepewa vitu vyote wanavyotakiwa kupewa ili washinde bado kweupee..kweli nimeamini timu inayoweza kubebwa na ikabebeka ni man u pekee..
  13. R

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    kelele hiz zote,mwisho wa siku aliyeolewa kajulikana!
  14. R

    JamiiForums Tanzania Barcelona Vs Real Madrid

    Wel done!!
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kila nikipata mpenzi mpya anatumia mkono wa kushoto!

    Nimeipenda hii coz una argue kisomi
Back
Top Bottom