kwa wana LLB SAUT. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa wana LLB SAUT.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Cartoons, Sep 15, 2012.

 1. C

  Cartoons Senior Member

  #1
  Sep 15, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Wanajamvi,especially wale wanaosoma sheria chuo cha SAUT,kuna tetesi kuwa lecturer ndg. raphael kamuli kuwa ametimuliwa au amehamishiwa tawi jingne la saut. hizi tetesi zinatokana na kuhairishwa kwa mitihani ya supplementary ,ambayo huyu jamaa alikuwa kakamata watu wengi,kwa kigezo kuwa mitihan inasahishwa upya. haijaelezwa ni kwa nini mitihani imerudiwa kusahishwa na lini hizo supplementary exams zitafanywa. km kuna mwanajamvi mwenye data kamili naomba atujuze.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Si mngepigiana simu than kuja kujaza server humu jf!
   
 3. pitbull

  pitbull JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 579
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Am not sure of that.
   
 4. R

  R-ELLY Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hukulazimishwa kuisoma wala kuijibu,kama umeona haikufai nenda ukafie mbele!!
   
Loading...