Mou hakutoka, anajijua mdomo wake hauwezi kwa hivyo kamtoa msaidizi wake, Caranca.nasubiri comments za mourinho nicheke!
Angalia usijepiga wenzako mateke hapo!
Mou hakutoka, anajijua mdomo wake hauwezi kwa hivyo kamtoa msaidizi wake, Caranca.nasubiri comments za mourinho nicheke!
Realmadrid 2 barcelona 01
ni bora ufungwe na timu kubwa kuliko chelsea inayoelekea kupotea..
Ku****** ******* ooooooo!
Namaanisha;
Kunakozama, ndiko kunakoibuka. Upooooo!
what a score!!...
leo madrid kashinda gemu yake ya 87
leo madrid imeanza kufunga goli dk 17
leo madrid imapata goli la ushindi toka kwa # 7
leo madrid imeipita barca kwa point 7
hii saba ina mambo si kidogo..
ni hayo tu..
what a score!!...
leo madrid kashinda gemu yake ya 87
leo madrid imeanza kufunga goli dk 17
leo madrid imapata goli la ushindi toka kwa # 7
leo madrid imeipita barca kwa point 7
hii saba ina mambo si kidogo..
ni hayo tu..
Realmadrid 2 barcelona 01
naamini wenye shida za ndoa mko tayari kuja kwangu kuwatabiria maisha yenu ya baadaeRealmadrid 2 barcelona 01