Kila nikipata mpenzi mpya anatumia mkono wa kushoto!

Watu wanao tumia mashoto mara nyingi wako karibu sana na shetani...msidanganywe na watu wanao sema ni ma clever, sio wote mashoto ni ma clever, au wote ma raisi wa marekani.

Sasa wale wano tumia kulia wangapi walikuwa maraisi wamarekani!

Yani ndugu hao ni mawili wachunguze sana mkona wa kuchambia siku zote ni wakushoto, sasa sijui wanakula kwa kutumia mashoto pia.
acha uongo wewe...hyo reseach uliifanya lini? Mie ni mashoto na cpo karibu na shetani ka unavyodai! Mkono wa kulia kwngu unafanya kaz za mkono wa kushoto na hamna ubaya wowote! Usi2letee intellectual masturbation hapa jamvini!
 
Fazaa unakosea unaposema Mashoto wako karibu na shetani maana, huyo shetani mwenyewe ni Subconcious mind yako mwenyewe. Mashoto aka South Paws wengi ni smart kuliko average people hili huwezi kulikimbia mkuu.. Tafiti kibao zishafanywa nchi za wenzetu ambako hakuna ubaguzi wala upuuzi wa kuwafinya watoto kisa tu wanatumia mkono wa kushoto.. Ukicheki fasta fasta binadamu walioleta mabadiliko makubwa duniani walikuwa ni mashoto n we use their products everyday na Fazaa huwezi kukimbia inventions zao.. Mitazamo yetu ya kitamaduni na kidini tuliyorithishwa bila kuhoji na wazazi wetu isitufanye tubague wengine kwa tofauti zao zisizoepukika za kibaiolojia..

Labda nikufahamishe tu kwa uchache mashoto ninaowafahamu n they play a role in most of our lives n may be yours..

Clinton
Obama
Einstein
Jimi Hendrix
Lady Gaga
Bill Gates (amekuwezesha kutype hiyo comment hapo juu)
Mark Zuckerberg (nina uhakika unatumia product yake inayoitwa Facebook kama sio wewe hata mwanao basi)
Oprah Winfrey
Angelina Jolie
Aristotle
Mozart
Leonardo da Vinci
Freddie Mercury
Oscar De La Hoya
Isaac Newton
Osama bin Laden (huyu jamaa amekufanya kila unapotaka kusafiri uvue viatu na mkanda airport bila kupenda)
Fidel Castro
Hugo Chavez
Michelangelo
Phil Collins
Paul McCartney (The most successful musician, composer, poet from The Beatles)
Friedrich Nietzsche
Ludwig von Beethoven
Sir Isaac Newton
Mark Twain
Henry Ford
David Rockefeller
Helen Keller
Amitabh Bacchan (nani asiyemfahamu huyu jamaa)
Benjamin Franklin
Charlie Chaplin
Keanu Reeves (mambo ya Matrix Reload)
Tom Cruise
Robert De Niro
Marilyn Monroe ( kama ulikuwa na access ya movie theatres or films miaka ya late 50's n early 60's you know should know her)
Napoleon
Julius Caesar
Mahatma Gandhi
Otto von Bismarck ( unamkumbuka huyu mjomba kwenye Berlin conference)
Prince Charles
Queen Elizabeth (mzanaki alipewa mkono wa kushoto kusalimiwa akaona kadharauliwa)
David Cameron
Benjamin Netanyahu
Seal
Diego Armando Maradona
Romario
Rafael Nadal ( unacheki anavyowachakaza kwenye tennis)
manny pacquiao (one the greatest left handed boxer)
Prince Naseem Hamed
Felipe Calderon (President of Mexico)
Laura Chinchilla (mwanamama huyu rais wa costa rica)
And did you know four of the five designers of the apple macintosh computer were lefties..

Bila kuwasahau mzee mzima 50 cents, r kelly, baby face na Eminem..

Na hapa nyumbani tuna Mrisho Mpoto na Jhikoman listen to their music utaona utofauti.. Dah! nilitaka kumsahau Hasheem aka Dogo Mwendawazimu (kikosi cha mizinga miaka ileee)

Labda hongera kwa Big Bro kwa kumpata mwenza lefty. I have been hunting for one for years sikufanikiwa they are so rare to find. Siku ukimchoka unaweza kuniPM.. *** Jitahidi tu kuwa adventurous cause they tend kuLoose interest ya vitu mapema..

Goodluck..
 
asante mkuu for ua ideas bse im also left handed and its obvious true that left handed folks have gotten peculiar thing within themselves though thts difficult to b appreciated by nincompoops.....long live jf!
 
Haya ndiyo mambo ya kiprimitive, kuwapiga watoto maleft, au kuwaumbua watoto vikojozi.
Nilidhani haya mambo hayapo tena.
 
Nimeipenda hii coz una argue kisomi
 
Haya ndiyo mambo ya kiprimitive, kuwapiga watoto maleft, au kuwaumbua watoto vikojozi.
Nilidhani haya mambo hayapo tena.

Bongo tena?? Haya mambo bado yapo mkuu na mbaya zaidi unaweza kukuta mwalimu ndo anamshikia fimbo kabisa mtoto asitumie left. Ila hoping kadri siku zinavyokwenda itakwisha..
 
acha uongo wewe...hyo reseach uliifanya lini? Mie ni mashoto na cpo karibu na shetani ka unavyodai! Mkono wa kulia kwngu unafanya kaz za mkono wa kushoto na hamna ubaya wowote! Usi2letee intellectual masturbation hapa jamvini!

Kuna watu wanajua kutunga uongo!!!!
Eti wanaotumia kushoto wako karibu na Shetani?
 
asante mkuu for ua ideas bse im also left handed and its obvious true that left handed folks have gotten peculiar thing within themselves though thts difficult to b appreciated by nincompoops.....long live jf!

Aaah acheni kujifagilia, Yesu alikua righthanded mbona alikua kichwa sana?
 
Watu wanao tumia mashoto mara nyingi wako karibu sana na shetani...msidanganywe na watu wanao sema ni ma clever, sio wote mashoto ni ma clever, au wote ma raisi wa marekani.

Sasa wale wano tumia kulia wangapi walikuwa maraisi wamarekani!

Yani ndugu hao ni mawili wachunguze sana mkona wa kuchambia siku zote ni wakushoto, sasa sijui wanakula kwa kutumia mashoto pia.

Mimi hapa huwa sielewi hivi una uhakika gani
kama mtu anayetumia kulia huwa hachambii kwa kutumia huohuo kulia, yaani zaidi ya kuamua tu ku assume unathibitishaje hilo.
 
Nimekuwa najiuliza, lakini sipati jibu. Mpenzi wangu wa Primary alikuwa Mashoto, wa A Level alikuwa Mashoto, then huyu wa sasa naye ni Mashoto, hii imekaaje? Sijui nitaoa Mashoto?
Ha ha ha ha haaaaaaaaa....Mkuu "kaoge maji ya baharini" mchana siku ya jumamosi.
 
haha haha.....kijana umeamua kichekesha mmu, wanakuwa mashoto nini, labda wewe unamatatizo ya macho, unaona vitu vilivyo kulia kama viko kushoto....hahahahaha
 
Mimi hapa huwa sielewi hivi una uhakika gani
kama mtu anayetumia kulia huwa hachambii kwa kutumia huohuo kulia, yaani zaidi ya kuamua tu ku assume unathibitishaje hilo.

Nice one! Tehe! Tehe! Mambo ya kule na mikono wanayotumia huwa ni top secret ya wahusika..
 
Nimekuwa najiuliza, lakini sipati jibu. Mpenzi wangu wa Primary alikuwa Mashoto, wa A Level alikuwa Mashoto, then huyu wa sasa naye ni Mashoto, hii imekaaje? Sijui nitaoa Mashoto?

Duh, yaan watatu tu toka primary? Is everything Ok with you?:scared:
 
Back
Top Bottom