Nna mdogo wangu amemaliza form 4 shule ya ufundi amepata daraja la kwanza naomba ushauri wadau kati ya kumuacha aende zake form 5 kusoma PCM na kumpeleka DIT Diploma kipi kiko Marketable zaidi?
Naomba Msaada kutoka kwa gamers jinsi ya kupatch pes 2017 version ya CPY kupata graphics,new faces and real team names za pes 2018.
10% percent itahusika kwa atakaenielekeza nikafanikiwa.
Mafisadi.
Sijawahi kusikia fisadi aliepelekwa jela au kunyongwa. Zaidi ya wale ambao walipewa adhabu ya jela miaka 2 na kufagia Muhimbili.
Wauza madawa.
Sijawahi kusikia aliepelekwa jela wala kunyongwa zaidi ya yule mliempotezea muda wake wa kununua mbaazi.
Ni drama tu kama Isidingo just its...
TCU wametoa tangazo kwa watu ambao wamekosa kuchaguliwa awamu ya kwanza waombe tena na utaratibu wa kuomba wamesema ni ule ule wa kuomba direct kwenye website za vyuo sasa cha kushangaza vyuo kama UDOM au MZUMBE tangu hilo tangazo limetolewa hiyo jana bado wanasema application closed sasa tuombe...
Nashauri baadhi ya wakufunzi wa vyuo vya elimu za juu watumie JamiiForums kama moja ya materials ya kujifunza kwa wanafunzi wao au wao wenyewe maana naona imekuwa kama google nowdays kila unachosachi unakuta kilishajadiliwa na watu wenye upeo tofauti tofauti.
Ni kitu kizuri sana.
Wakati Trafiki, TRA na Sumatra wanawaonea boda boda kwa kukamata piki piki zao.
Ndege yao nayo imekamatwa boda boda wamelipa fain elf 30, wao wanalipa bilion 80.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wa BOT walioiba matrilion boss waliishia kufagia Muhimbili ndo adhabu yao na kuna yule wa TRA tulisikia ana nyumba 72 juzi tumesikia hana kesi ila we iba kuku uone.....utoe usia mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
Kada zote Tanzania mtu anapoongeza elimu na kima cha mshahara pia huongezeka.
Cha kushangaza katika kada ya elimu tu hiko kitu hakipo, tatizo ni nini mbona Walimu wananyanyaswa sana na kufanywa kama tambaa la makamasi?
Hivi walimu si ndio huwa wanatumika kwenye vituo vya kupigia kura mnadhani...
Hawa wanaotumbuliwa wanapewa adhabu gani? Maana nasikia kuna wakurugenzi wametimuliwa tangu mwaka jana na bado wanalipwa mshahara me bado sijakubali mpaka nione kigogo mmoja katolewa kafara.kila siku tunasikia wezi wezi alafu sion action huu wizi wa mchanga ni wizi kama wa 200 hivi nlosikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.