Kanyunyu
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 335
- 495
Najitokeza hadharani kumsihi waziri Mkuu mstaafu Mzee Edward Lowassa arudi Kenya kupatanisha mgogoro wa kisiasa uliopo Kwa sasa kati ya Odinga na Uhuru kuhusu uchaguzi.
Edward Lowassa ni mtu Pekee aliyeingilia siasa za Kenya, Sasa mambo yameharibika Usikae kimya mzee Laigwanan. Nenda kapatanishe Kwa Kuwa wewe Una ushawishi Kwa Jamii ya Kenya ndiyo maana ulimsaidia UHURU kupata kura nyingi.