Mfukutuzi
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 239
- 175
Wakuu, zikiwa zimebaki siku tatu (3) tu TCU ifunge awamu ya Pili ya Udahili Vyuo vikuu UDOM bado hawajatoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na Chuo hicho kwa mwaka 2017/18 na hakuna maelezo yoyote na huku waombaji wenye "Multiple selections" katika Vyuo mbalimbali wamepewa deadline ku-confirm kama watajiunga na Vyuo hivyo ama la, UDOM haioni kama itachanganya na ama kuwachelewesha watu kufanya maamuzi??
Hii imekaaje wakuu
Hii imekaaje wakuu