Recent content by Qt B

  1. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najilaumu kwa kupoteza muda mwingi kukusanya nguvu za kupasulia mayai kwa nyundo

    Yani hapa ndio hujaanzia mbali kama ulivyosema, aisee, sijui ungeanzia mbali ingekuwaje mkuu. Nashauri tulia na mkeo tu.
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Uchakachuaji wa maziwa fresh

    Kama unaishi Dar, Maeneo ya karibu na Tegeta IPTL, naweza nikakuelekeza sehemu ambayo utapata maziwa mazuri sana ya ng'ombe
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongo Movie na Bongo Flavour wamuaga Kikwete na kumkaribisha Magufuli

    Mmh. Hapa kazi ipo
  4. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sometimes kumweka msichana friendzone kuna raha yake

    Mmhhh, hayaa
  5. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti aliye tayari kufunga ndoa! Ni mkristo, leo tu nimepima sina virusi n.k!

    Kabisaa
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Dr Nchimbi ameunda Kamati sio Tume

    ..tunapoelekea,kamati ikilegalega watasema kiliundwa kikundi cha watu kuchunguza tukio hilo..
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania?

    Wanyakyusa banaa...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Katibu wa MAT Taifa aanza kupigiwa simu kama Dr. Ulimboka...

    ..hiyo ndo 'liwalo na liwe'sasa
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Jinsi walivyo facebook

    umesahau...zile za so n so checked in samaki samaki mliman city au ...was at savanna lounge quality center kila baada ya sekunde...hehee,facebook bana..we acha tuu
  10. Q

    JamiiForums Tanzania naomba msaada wenu:natafuta kazi customer care/call center...

    asante king..kesho ataenda hizo sehemu apeleke cv yake...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania naomba msaada wenu:natafuta kazi customer care/call center...

    habari wanajf!naomba msaada wenu, nina mdogo wng anatafuta kazi aina ya customer service au call center:elimu yake ni kidato cha sita ila akasoma na certificate ya mambo ya customer care+marketing +computer anafahamu pia...anahitaji kujiendeleza kielimu ila financialy hatuko vizur sana i mean...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania DANCE MIA MIA: Ni Vichekesho

    eatv /channel 5
  13. Q

    JamiiForums Tanzania kuunga mkono Hoja kwa 100% bungeni inamaanisha nini?

    ....wanaepuka kupinga sana bajeti coz wao wakipinga itapelekea mabadiliko makubwa ya kisiasa ikiwemo nchi kuingia katika uchaguzi before 2015 kitu ambacho wanachichiem wanogopa ukizingatia chadema imeshika hatamu sana sahv....huo ni udhaifu mkubwa ni lazma wajikubali na kubadilika sema ndo hivo...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania How To Identify Legit Work At Home Business.

    asanteni kwa kutufungua macho katika mambo haya ya kimaendeleo,mimi didnt know these things,nawashukuru sana...sas kwa sisi tusio na hiyo paypal account tunafanyaye?does that mean siwez kujiunga au what shud I do kupata such ac ili niweze kua member pia??thx...
Back
Top Bottom