Let me start on how you can make money with these people.
As stated earlier, aina hii ya online money making inafahamika kama Pay To Click, yaani PTC. Kuna PTC websites nyingi sana, tena sana! Lakini nyingi ni scammers! So, kama jina lilivyo (PTC), member analipwa kutokana na idadi ya matangazo anayoangalia ambayo yanakuwa displayed mara kwa mara!! Ni kama jambo lisilowezekana, lakini kibiashara inawezekana! Si ajabu katika kuangalia angalia huko unaweza kukutana na product or service ambayo umeipenda na ukajikuta unainunua ingawaje lengo lako halikuwa hilo!!! So, kila unapo-click tangazo na kuliangalia, you get paid. Hiki kiasi unacholipwa kutokana na matangazo unayoangalia kinaingizwa moja kwa moja in your Main Account. Likewise, in every adverts you watch, unapata 1 Neo Point Bonus ambayo nayo inaingizwa moja kwa moja kwenye your account. Therefore, you can transfer your cash available in your main directly to your PayPal Account which you can also transfer them to your ordinary account. Kutokana na hilo, utaona kwamba, in order to transfer your cash received from your Neobux inabidi uwe na PayPal Account!! Nazani ni challenge kidogo lakini usitishike kwavile tu hauna PayPal Account. Binafsi, nili-join wakati hata ndoto ya kuwa na Paypal account sikuwa nayo!! Lakini my main balance ilipokuwa na pesa ya kutosha ndipo nikaamua kufungua account CRDB na kupata Visa Card ambayo iliniwezesha kufungua PayPal account kisha nikaamisha mkwanja kutoka Neobux hadi kwenye account yangu ya CRDB!!
Na kuhusu NeoPoints, hizi zinakusaidia kupata deals mbalilmbali zinazotolewa. Mathalani, unaweza kukuta mtu mwenye NeoPoints 20,000 basi anaweza pewa kitu kama laptops na vitu vingine kama hivyo!
NOTE: Sincerly speaking, njia ya kuangalia matangazo inalipa fedha ndogo sana!! Hata hivyo, wakati unaangalia matangazo, unaweza kukutana na offers mbalimbali kama Adprizes ambazo zenyewe zinalipa vizuri kidogo as compared to matangazo ya kawaida! Hata hivyo, si ya kutegemea sana.
SO CAN YOU MAKE ENOUGH MONEY?!
The best way to make enough money with ZERO cost is through Dirrect Refferals. Yaani, as you invite as many members as possible na kama members wenyewe ni active then you make money through them. Lakini kwa wale wenye uwezo, huwa wanaamua kukodi hizo refferals, hata hivyo bei yake si kubwa. Na namna nyingine ya kuongeza ni kwamba you pay about $2 a day ili kutangaza link yako.
How much you can earn?!
Kama nilivyotangulia kusema hapo awali, ukiwa commited, you can earn not less $200 a month! Hata hivyo, wapo wanaopata more than $2000 a month! Lakini any amount above $ 500 utahitajika kutumia fedha kidogo; angalau $ 100++ a month.
WHAT YOU NEED TO DO NOW?!
Hawa jamaa wana complication kidogo. Sio kama JF kwamba una-join leo na leo leo unaanza ku-post...kwa hawa NO! Kwanza, ili uweze ku-invite refferals, unatakiwa uwe member kwa not less than 15 days na kungalia angalau matangazo 100! Hata hivyo, viwango ni vya sasa baada ya members kulalamika na zamani wakati mimi naingia ilikuwa ni lazima uwe member for at least 30 days. Hata hivyo, wala usitishike na hayo matangazo 100. Unaweza ku-afford kufikia hicho kiwango in a week.
Ask me anything if you wanna knw more infos