Jinsi walivyo facebook

Jinsi walivyo facebook

umesahau...zile za so n so checked in samaki samaki mliman city au ...was at savanna lounge quality center kila baada ya sekunde...hehee,facebook bana..we acha tuu
 
bora mie nipo "bodybook" kule "facebook" kulinishinda....job kwenu!
 
Uso Kitabu kuna furahisha mtu anamakovu ya kuanguka visimani au kwenye milima kwao akifika nje za nchi anapiga picha moja Demu ya Kimini Guu ndio la Bia ila Kovu la ugoko kubwaaaa yamepisha mguuni au akikaa kimini ana alama ya Ndui ya mguu bora tu avae suruali.
 
Ivi twitter ndo ikoje? Fb ilishanishinda kitambo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom