Recent content by Qaymo moja

  1. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatawala vyombo vya habari vya kimataifa

    Hahaaaaaa haya majibu mwafaka zaidi
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya mchungaji wa KKKT aliyekamatwa vyakusanywa

    Mchungaji anaakili Sana kawaza parefu Sana hadi kitabu kakitoa nilitamani gvt ikajisomee kwa maboresho
  3. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya's Jubilee Party plans to Copy CCM party structure and adopt Communism(Ujamaa)

    Tulieni wamchukue anko wetu
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ametukanwa tena na Jarida la Economist. Tukiendelea kunyamaza, itafika siku Uongo huu utageuka Ukweli!

    Kama humu wote tutasoma kimombo vzr na kuelewa Gazeti hilo limeandika ukweli mtupu .Penda usipende matendo ya bwana mkubwa yote yamechambuliwa mubashara Sasa mnataka tusiwaje kama tunafanya aliyoyatasema Trump
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Nipo Arusha wapi pa kujirusha?

    Kwa majibu haya nimefurahi hadi raha tafsiri sisisi nzuri sana
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Hivi walimu tumemkosea nini Mungu?

    Mungu angewezesha kufikia kofia na rungu la Nyumba nyeupe kuna watumishi wanahitaji empowerment ya hali ya juu . Mwalimu ni kiongozi wa kwanza popote pale lakini Tz mwalimu ni sawa nothing effect kwenye jamii naumia sana kwa kazi wazofanya Walimu wetu.
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Diamond apewa ardhi ya kuishi nchini Kenya

    Safi kabisa wengine hata Tz hawapewi hiyo robo eka acha Jamaa ale jasho lake hadi A kusini
  8. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

    Pole kubwa kwenu Dada zetu na mama zetu respect to you all
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Geita: Wananchi waliteketeza Lori baada ya dereva kumgonga na kufa papo hapo muuguzi wa zahanati ya Kaseme

    Choma na sikuingine na dereva acha utani na maisha ya watu
  10. Q

    JamiiForums Tanzania SHINYANGA: Diwani ampa kichapo Nesi mbele ya Wagonjwa

    Tatizo kuwachagua wasio na fahamu toshelevu
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Bashe: Ni kweli nilisema CCM wawapige CHADEMA, sababu ni hii...

    Kauli tata
Back
Top Bottom