Bismack
JF-Expert Member
- Mar 12, 2018
- 387
- 496
sawa mkuu mi nimeishia darasa la 3 usinihukum .Jifunze kutofautisha l na r ndo uje kutoa ushauri
sawa mkuu mi nimeishia darasa la 3 usinihukum .Jifunze kutofautisha l na r ndo uje kutoa ushauri
Heshma inatoka wapi wewe au wewe ni mtu wa kitengo nini? Heshma ya kazi ni malipoMkuu hiyo kazi ina heshima sana nashangaa umeiona ni ya upumbavu nadhani kwa kuwa ulisoma ili upate mkopo
Sijakuhukumu mkuu na kamwe siwezi kufanya hivo ila aina ya ushauri mnaoutoa ndo una ukakasi kumwambia mtu ashasema hali duni ndo imemfanya aingie huko na unamwambia awe mjasiriamali....ujasiriamali in zaid ya kutamka tu hilo neno kuna mengi sanasawa mkuu mi nimeishia darasa la 3 usinihukum .
kweli mkuuSijakuhukumu mkuu na kamwe siwezi kufanya hivo ila aina ya ushauri mnaoutoa ndo una ukakasi kumwambia mtu ashasema hali duni ndo imemfanya aingie huko na unamwambia awe mjasiriamali....ujasiriamali in zaid ya kutamka tu hilo neno kuna mengi sana
usipojiheshimu katika kada hiyo na ukiwa muoga, kila siku utakuwa unawalamba miguu hao wanaitwa mabosi....
Mamy K,ukitaka kuifurahia kazi hii jiamini,tekeleza majukumu yako kwa wakati pia
Ukija huku kanda ya ziwa kuna sehemu panaitwa Bulima,huwezi fanya kazi kama ukiwa na roho nyepesi,majungu kutoka kwenye kamati ya shule,staff,mwenyekiti wa kijiji,vitongoji,Veo,Diwani na mwenyekiti wa chama cha...!
Fanya yako wenzio sasa hivi wala hatuna muda tunafanya yetu tuu!
Ualimu ukiufikiria utapata stress Fanya yako
I feel what u feel mkuu..pole sana
Bado kwenda Primary bila malipo.
Sad truth!Watumishi wa umma wa Tanzania ni kikundi cha watu wasiojua thamani wala umuhimu wao. mtu akilipwa kamshahara kake ka laki 2 akanunua ka tv flat na kasimu ka techno huhisi kamaliza.
wamejawa na majungu, uongo, uzandiki, kujipendekeza kwa wakubwa zao hata kwa gharama za wenzao, chuki na fitna
UKIAMUA KUACHA NA KUSOMEA FANI NYINGINE KITAHARIBIKA KITU KWANI
Huyo Mkemia yeye tu hamtaki Mkewe, unategemea ataeapenda Walimu wengine?Andika barua yako ya malalamiko uipeleke kwa mwalimu wa kemia pale getini magogoni.
Nasikia na mkewe pia alikuwa mwalimu kabla ya kuingia jumba jeupe.
Huenda wakakusikia, maama wanajua machungu ya waalimu.